Hivi lukuvi unanini?

Jun 27, 2012
17
7
Mala kwa mala nimekuwa nashangazwa na kile kinachofanywa na huyu mtu wa kule iringa maeneo ya isman hivi yuko kwa ajili ya maslahi ya nani pale bungeni maana kila hoja yenye maana kwa watanzania yeye anaipinga na kusema hiyo isijadiliwe

sasa kunamaana gani basi ya wabunge kuwepo pale maana ukiondoa bajet mambo mengine yote yako katika tume na mahakani?

hivi ni maslahi ya watanzania au ni maslahi ya serikari? ambayo anayasimamia kama ni ya watanzania ni kwa kiasi gani ametekeleza?

nakama ni kwa ajili ya serikali mwisho wa hiyo si ni kwa wananchi ambao wameiweka madarakani?..

MH.RUKUVI UNANINI?
 
Huyu jamaa ni mlinzi wa Maslahi ya Wahuni wachache wanaoimaliza nchi hii. Yeye amepangiwa kulinda maslahi yao huko bungeni. We ushangai Mwanasheria mkuu wa Serikali anavyoiabisha taaluma yake. Halafu wanasheria wapo kimya tu.
 
tatizo la Lukuvi alikula kilo nzima ya BULGA ndo maana kasi yake ya kufikiri imepungua jimboni kwake kuna njaakubwa maji ni kitendawili lakinikwa sababuyupokwa maslahi yamkuu wa nchi ndomaana kazi yake yeye ni kupinga tuuuuu
 
Zingatio historia yake kiuongozi utagundua uteuzi wake ukuu wa mikoa tofauti ulukua wa aina gani pamoja na kuboronga kote, he managed......
 
Ismani ni jimbo ambalo ililkuwa la kwanza kimkoa kutoa mahindi ndiomaana ikawa na kuzoeleka kuwa mahindi ni na chakula ni kutoka mkoani iringa lakini sasa wapi hakuna kitu na hata wengine wanahoji ilikuwaje akapita bila ya kupingwa wakati watu wamechoka na wanashanga leo isimani kutegemea masaada toka miko ya morogorona njombe?

amewatupa wananchi wote wa kule..................
 
The guy who contributed is not far from the truth,i could agree with him,taking into consideration the circumstances of the situation in the house!
 
Hivi akina Mamwindi huko Ismani wamekwisha?

But the guy is STD VII leaver, tumsamehe, lakini pia tujisikitie kuruhusu AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA.
 
huyu Lukuvi lazima 2015 tumng'oe M4C iende ismani lazima wananchi wataamka. nimeishi Iringa najua jinsi wakazi wa kule walivyokuwa wachapa kazi wakulima wazuiri wa mahindi lkn toka huyu mamluki lukuvi achukue jimbo, hakuna lolote l maana alilolifanya zaidi ya kuwaletea njaa tu
 
huyu jamaa ana roho mbaya sana hata wabunge wenzie toka mkoa wa Iringa wanamjua yaani huwa anataka yy ndiye awe kila kitu kutoka mkoani Iringa wakati shule hakuna tena alimnunua mtu wa upinzani kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 jamaa akajitoa ili yeye Lukuvi aonekane kapita bila kupingwa,atang’oka tu 2015
 
huyu Lukuvi lazima 2015 tumng'oe M4C iende ismani lazima wananchi wataamka. nimeishi Iringa najua jinsi wakazi wa kule walivyokuwa wachapa kazi wakulima wazuiri wa mahindi lkn toka huyu mamluki lukuvi achukue jimbo, hakuna lolote l maana alilolifanya zaidi ya kuwaletea njaa tu

kweli siasa zimevamiwa jamani,yaaani mtu mzima na akili zako unasema lukuvi kapeleka njaa jimboni kwake,yeye ndo alisababisha mvua isinyeshe vizuri ama,tumia akili wew sio masaburi
 
Hivi akina Mamwindi huko Ismani wamekwisha?

But the guy is STD VII leaver, tumsamehe, lakini pia tujisikitie kuruhusu AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA.

chakushangaza hivi sasa ana masters' degree ya open university.
 
kweli siasa zimevamiwa jamani,yaaani mtu mzima na akili zako unasema lukuvi kapeleka njaa jimboni kwake,yeye ndo alisababisha mvua isinyeshe vizuri ama,tumia akili wew sio masaburi

Leo umeshiba naona umelipwa Na Nape, hujui chochote kuhusu siasa, upevu wako mdogo wa kufikiria unadhani mvua peke yake ndo suluhisho la matatizo ya njaa, hizo ni fikra mgando ambazo wewe na wenzio wa ccm mmeziendeleza miaka nenda miaka rudi. so lazima tumpige chini ndugu yako LUKUVI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom