Hivi Lowassa anakwenda Arumeru Mashariki kukipigia kampeni chama au mkwewe?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Hakuna ubishi kuwa waziri mkuu aliyebwaga manyanga kutokana na kashfa ya Richmond Edward Lowassa atakwenda Arumeru mashariki kupiga kampeni. Je atakwenda kule kumpigia kampeni mkwewe au chama? Kama ni chama ni kwa sifa gani na tuhuma zote hizo? Je atatumia sifa ya kuwa mmeru anayejiita mmasai au vijisenti? Je atakipigia chama kampeni kwa lipi wakati kimeishapanga kumwengua?
 
Hakuna ubishi kuwa waziri mkuu aliyebwaga manyanga kutokana na kashfa ya Richmond Edward Lowassa atakwenda Arumeru mashariki kupiga kampeni. Je atakwenda kule kumpigia kampeni mkwewe au chama? Kama ni chama ni kwa sifa gani na tuhuma zote hizo? Je atatumia sifa ya kuwa mmeru anayejiita mmasai au vijisenti? Je atakipigia chama kampeni kwa lipi wakati kimeishapanga kumwengua?[/QUOTE

I am keen on everything!! Ankwenda kumpigia kampeni mkwewe, lakini mkwewe si mgombea binafsi ana wakirisha chama chake kilichomteua. If "A" equals "B" and "B" equal "C", then "A" equal "C"?!! Simple and clear interpretation: akimpigia kampeni mkwewe ambaye anasimama kwa ticket ya CCM mwisho wa siku akishinda utakuwa na ushindi wa CCM kama chama. Moreover, siyo kila homa ni malaria!! hivyo siyo kila mtu anayetuhumiwa ni mhalifu!! Kama una ushaidi wa kumtia hatiani bwana lowasa peleka mahakamani au uwaambie wale wanaomtuhumu wampeleke mahakamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom