Hivi Lizzy umewapa nini wanaume wa humu ndani?

Hhhm . . . kununua jina la ukoo ng'ombe 20, kuwa ndugu kabisa jiandae kujenga kaghorofa( uwe na sehemu ya kulala ukija nyumbani), ununue kapick up (ya kulishia mifugo yako na shughuli za shamba). Shamba utapewa kakiamba kule Kirisha. . . . lolz. . . kwahiyo we kazi ni kuandaa pesa ya vibarua na dawa za kahawa tu.
Dah sa hao ng'ombe watakaa wapi na kule wanataka wale wa kichina tu na si huku tuna wale wa asili? Kighorofa haina tabu na hata kahawa tutalima sana tu ntakupandia na mti wa mwembe ili usiwe unaenda kuiba kwenye mti uleeeeee.......
 
Hahahaha. . . Jr jamani. Kwahiyo hutaki kuulizwa "baba tule nini leo?" !!!???

MJ1 is right though. . . .hata YES MAN nae anaboa.
Napenda sana kuulizwa lakini kwenye nyakati ROMANTIC na niulizwe kwa namna hiyo......lakini sio ile kuulizwa kwasababu she daznt believe herself kwamba whatever she cooks mi ntakipenda
"Tule mchemsho wa kuku na ugali, na tushushie kwa mbege mama" Lol!
 
Dah sa hao ng'ombe watakaa wapi na kule wanataka wale wa kichina tu na si huku tuna wale wa asili? Kighorofa haina tabu na hata kahawa tutalima sana tu ntakupandia na mti wa mwembe ili usiwe unaenda kuiba kwenye mti uleeeeee.......
We sehemu ya kuwaweka haikuhusu maana sio wako hao. . . hayo ni malipo na ukishatoa umetoa. Sema utaruhusiwa kunywa maziwa mpaka ukinahi. . . lolz

Mwembe kitu gani wewe? Tuna mpaka miwa na miparachichi, mipapai na michungwa, mizabibu na ndizi tena zinaivia huko huko mgombani, elimu na malimao, mapera na masimba (jina la kiswahili sikumbuki), na mafenesi nikitaka naenda kwa jirani tu.

Napenda sana kuulizwa lakini kwenye nyakati ROMANTIC na niulizwe kwa namna hiyo......lakini sio ile kuulizwa kwasababu she daznt believe herself kwamba whatever she cooks mi ntakipenda
"Tule mchemsho wa kuku na ugali, na tushushie kwa mbege mama" Lol!

Enheee. . . .
Sasa kama haamini mapishi anayajua afanyeje dada wa watu?
 
Umenifurahisha Musimo Jr... Wee kakupa nini? lol.... Ndo ujue kua haiepukiki....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom