Hivi lipi ni kweli??

majany

JF-Expert Member
Sep 30, 2008
1,223
579
Hivi wanawake wanavaa nguo ili kuwa'impress wanaume??au wanavaa nguo zao ili ziwapendeze............Ninamaanisha 'assume kungekua hakuna wanaume,wangeendelea kuvaa nguo za kubana,fupi sana,za kutamananisha etc...kama wafanyavyo hivi sasa??????????????
 
Wangevaa tu, kwani kuna wanawake wengine wanavaa mavazi kuwakoga wanawake wenzao, either hawana kipato cha kununa au hawawezi kupendeza kuwazidi n.k
Kwahiyo kaka kama unajidanganya ya kuwa anakuvalia wewe mwanaume we endelea hivyo hivyo!
 
Kwaupande wangu nikiwa ndani kwangu namvalia yeye,nikiwa nje sivai kumfurahisha mtu sababu mwanamke kujistiri.....
 
Hivi wanawake wanavaa nguo ili kuwa'impress wanaume??au wanavaa nguo zao ili ziwapendeze............Ninamaanisha 'assume kungekua hakuna wanaume,wangeendelea kuvaa nguo za kubana,fupi sana,za kutamananisha etc...kama wafanyavyo hivi sasa??????????????

Swali lako lina utata kidogo, ila wapo Wanawake wanaovaa nguo kwa ajili ya kujisitiri na pia ili wapendeze. Hawa ni wadada wenye staha na heshima zao. Pia wapo ambao huvaa kwa ajili ya kuvutia wanaume kama wateja wao. Ukienda maeneo ya Corner Bar, Jolly Club, Meeda nk. Na pia wapo wengine wanaovaa kulingana na ethics za kazi zao kama bank, BOT nk. Pia wapo wanaovaa kwa kulazimishwa na sheria za maeneo wanayosoma kama chuo cha utumishi wa Umma nk Na pengine wapo pia wanaotafuta kupata mahusiano ya haraka kwa kubring attention ya Wanaume kwa kuvaa nguo fupi au zinazobana!
Ila all in all, nafikiri ni jambo jema wanawake wajue nini cha kuvaa, wapi na kwa wakati gani! Maana vimini huweza kwenda navyo kwenye nyumba za Ibada wala suti kuingia nayo disco! Na pia nguo fupi kupita kiasi mchana mchana si jambo linalopendeza.
 
Navaa kufeel good and sometimes to have make that entrance.

Kama kungekuwa dunia yote ni wanawake still ningevaa what I do hata hizo fupi, kama ninajiamini kwanini, sometimes you create inspiration, if you know what I mean...good figure, good taste and it all feel good.
 
nguo fupi vaa ROOM na mumeo tu, nje vaa nguwa za ishima. musitutege wana-dada

kazi na sala muuimu
 
Wanajaribu kuwafanya wanaume wajinga kwa kuwaonesha maungo yao ya ndani. Ni kweli yanagusa hisia lakini sasa tumeshazoea kuona kwa hiyo ni kawaida tu.
 
Kwaupande wangu nikiwa ndani kwangu namvalia yeye,nikiwa nje sivai kumfurahisha mtu sababu mwanamke kujistiri.....
Kama guu lako lina manyoa kama mwanaume, au mwembamba kama ufito, mikovu ndio usiseme, ni lazima uvalie nguo ndefu ili zikustiri, mie kama nina mguu wa bia kitu soft, nimfichie nani?
 
kusingekuwa na wanaume, wangetembea hata uchi, kama wabisha tembelea shule za boarding hakufai!!!
 
wanaume wasingekuwepo....tungetembea uchi kupata upepo....
mnatubana sana.....hatupumui hata tone....
 
wanaume wasingekuwepo....tungetembea uchi kupata upepo....
mnatubana sana.....hatupumui hata tone....

... Du! - yashakuwa hayo! .. basi napita!
napita.gif
 
Mim sina hata ninalojua ila naskia hata kwenye shule za grls...wadada wanatupia mapigo hayo,hayo..!
Yani ni girls schl,lakini vipedo,bana matiti,min skrt,skin jeans and ext.. Wanavipiga kama kawa...
Nadhani ni mavazi tu..
And sm of thm zinanivutia...
 
Back
Top Bottom