Hivi lini wanajeshi madai yao hayatalipika?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Jamani hivi hawa wanajeshi, polisi na idara ya usalama wa taifa ni lini madai yao ya mishahara hayatalipika? Au ya kwao yanalipika? Au ni yale maduka ya furniture bei cheee, electronics bei chee, building materials bei chee, beer bei poa, kwenye daladala hakuna kulipa nauli?

JK, ukitaka wafanyakazi wa serikali wasigome basi fanya kama kwa hawa JWTZ, Polisi na Idara ya Usalama wa Taifa, au ulainishe maisha ya watanzania kwa kushusha gharama ya maisha, mfano, inflation iwe 1.5%, na thamani ya shilingi iwe 500/ kwa USD moja. Hivi wakati unasema 'maisha bora kwa kila mtanzania' hukujua kama unawaambia waalimu na madaktari kuwa mishahara itakuwa minono na sehemu za kazi zitakuwa super?!
 
Wewe huna busara, tena huwezi hata kuongoza wadogo wako. Unaandika nini wewe ebo!!!!!!!!!
 
wee wee weee! tena uishia hapo hapo unataka "DR" wetu atembee kwa mikono badala ya BMW athubutu kusema kuwa mishahara yao hayatalipika aone mziki wake..... yaani wakisema nyongeza ya asilimia 150 wanapewa fasta
:israel: atafika ndani ya sekunde.
mziki wa wanajeshi na uwt ni tofauti afadhali hawa policcm ataweza kuwajibu huku akichekacheka
 
Lakini bado na vyombo vya usalama JK kavigawanya kwa makundi ndiyo maana kuna usalama wa taifa ccm,usalama wa taifa Ikulu,usalama wa taifa wa dsm,na usalama taifa wa kawaida, wakati huohuo kazi anayoifanya askari jeshi na askari polisi ni moja na kuumia ni kulelkule na hata kutoa saluti ya himahima...tanzaniaaaaaaa huwa ni moja lakini bado mshahara wao ni tofauti ktk ration.ukiweka kando sifa tofautishi mfano elimu,vyeo,kitengo au taaluma
 
Back
Top Bottom