Hivi leaving certificate ina umuhimu?

QUALIFIED

JF-Expert Member
Jun 13, 2012
773
112
jaman msaada kujua kama leaving inaumuhim na inatumika wap maana yangu ilifuliwa kwenye begi hata haitamaniki kabisa msaada wakuu
 
ina umuhimu ..baadhi ya kazi ukipata huitaji na leaving pia...kuavoid uchakachuzi wa vyeti...
 
jaman msaada kujua kama leaving inaumuhim na inatumika wap maana yangu ilifuliwa kwenye begi hata haitamaniki kabisa msaada wakuu

ni mhimu sana tu, nakushauri uende shuleni kwako upewe nyingine. zile zinapatikana.

leaving inatumika kuhalalisha cheti chako. mfano cheti chako academic kinaonesha umesomea mzumbe, je kuna cheti cha kuthibitisha kuwa uliwahi kusomea mzumbe? ndiyo kazi kubwa ya leaving. wanafunzi wa private candidate hawahitaji leaving ila wa scholl candidate wanatakiwa kuwa nazo
 
Tunako elekea hata Certificate za ki academic zitakuwa hazina ishu kabisa, Mashiraka mengi ya Nje ya Nchi yanayo fanya kazi Tanzania huwa hata hawaombi academic certificate, nisha wahi kufanya interview kwenye mashirika kama matatu na yote nilibeba veti lakini walisema hawahitaji vyeti bali CV, ila ni muhimu kwa kumbukumbu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom