Hivi kweli toka 2006 Daudi Mwangosi hajapewa ajira ya channel 10?

Hivi hiki kituo kinamilikiwa na nani? Ha ha ha ha ha! Kwa kadhia hii don't be surprised kuambiwa ni Chadema. Hapa hakuna jinsi ya kukwepa kujadili watu na matukio badala ya masuala. I am very sory for that.
Kinamilikiwa na rostam aziz
 
Dickson, navyofahamu Marehemu alikuwa analipwa na Channel Ten kwa mkataba wa jinsi anavyoreport story... hilo si geni kabisa katika Uandishi wa Habari na sector zingine kama Afya, Ufundishaji hasa wa Vyuo Vikuu na wengi wanafanya Bongo na Duniani.

Na wakati mwingine Unaweza kufaidika zaidi kama ukiwa Unalipwa kwa style hii na Mtu anakuwa huru sana kufanya mambo binafsi kuliko kuwa mwajiriwa. Kuhusu NSSF, unaweza kuwa Mwanachama na Kufaidi mafao yote hata kama sio Mwajiriwa....

Ni majibu mafupi na ya kutosha kabisa, nashangaa muanzisha mada hakukupa hata asante..... Na pengine mtoa mada hajui hayo mafao hutolewa baada ya kuzeeka!
 
Mimi ninadhani tusiwe emotional kuhusu hili la kuajiriwa au kutoajiriwa. pengine ma journos watuambie.
nitambuavyo mimi ni kuwa siyo lazima uajiriwe na shirika na wengi hupenda kuwa huru ili waweze kufanya kazi vizuri na kuuza kazi zao nyingine independently. ndiyo maana utakuta mwandishi anawakilisha zaidi ya kampuni moja kwenye habari na au makala. Ninadhani marehemu aliridhika na hali hiyo kwani ilimfanya awe huru zaidi bila kubanwa na wahariri.
 
Back
Top Bottom