Hivi kweli Serikali yetu ipo serious na suala la nishati??

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Hivi kweli tuna miaka 50 hatuna umeme wa uhakika, hii imekaaje?

Nini mpango wa serikali yetu jamani??
 
tufanye maamuzi sahihi wa TZ, ccm hawana uwezo wa kuitoa hii nchi hapa tulipo tukiendelea kuwakumbatia ccm tutaishia kuwa maskini milele na milele amina
 
Back
Top Bottom