Hivi kweli nchi hii inayo rais au..

dkalu

Member
Aug 12, 2011
42
1
Tumekuwa tukisumbuliwa na tatizo la mafuta kwa wiki mja lakini rais atoi ata kauli kweli tunakiongozi au?
 
Tumekuwa tukisumbuliwa na tatizo la mafuta kwa wiki mja lakini rais atoi ata kauli kweli tunakiongozi au?
Yupo lakini ni kama HAYUPO vile!!
Anaendelea kutalii dunia na kumuenzi Vasco Dagama!!
 
we muache mkulu apumzike na swaumu, msimusumbue!
....hivi loe ni kundi gani litakuwa Magogoni kufuturu vile!? nataka niungane nalo maana sijawahi kuingia pale
 
we muache mkulu apumzike na swaumu, msimusumbue!
....hivi loe ni kundi gani litakuwa Magogoni kufuturu vile!? nataka niungane nalo maana sijawahi kuingia pale
NIlisikia kama vile Babu Mwasapile na ujumbe wake wanapata futari kwa babu leo...Nadhani hapo patakufaa kujichomeka!
 
kwani anaelewa kinachoendelea kwenye nchi hii?????
 
<font size="3"><span style="font-family: times new roman">we muache mkulu apumzike na swaumu, msimusumbue!<br />
....hivi loe ni kundi gani litakuwa Magogoni kufuturu vile!? nataka niungane nalo maana sijawahi kuingia pale</span></font>
<br />
<br />
KUINGIA MAGOGONI BI CHEP,TAFUTA BANDA LA MANYASI SEHEMU,TUNGULI ZA KUTOSHA!KANIKI NA MAPETE!WALA USALAMA WA TAIFA HAWAKUJAGUI GETINI UKISHAKUWA HIVYI UNA FREEPASS! TAWIRE BABAA
 
Naendelea kusoma kila mchango lakini sioni jambo hapa. Naona punde panga la mod litapita?
 
kweli unaweza kujiuliza,maana kama yupo na serikali ipo na mamlaka kamili iweje mtu,tena asie raia aipe serikali(kama ipo)masaa 24 ibadilishe maamuzi yake na mtu huyo akawa bado anadunda mtaani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom