hivi kweli nafasi za uhakimu zimetoka?

neyl

Senior Member
Nov 23, 2011
127
19
mambo? jaman hivi kweli nafasi za uhakimu zimetoka? nmeskia kwa daladala watu wanaongea ila nimetafuta kwenye magazet sijaona, je ni kwel zimetoka na gazeti gan labla limetoa?
 
mambo? jaman hivi kweli nafasi za uhakimu zimetoka? nmeskia kwa daladala watu wanaongea ila nimetafuta kwenye magazet sijaona, je ni kwel zimetoka na gazeti gan labla limetoa?

kwanini hukuwauliza?
 
Hazijatoka mdogowangu,na hazitatoka soon,maybe kwenye mwezi wa tano huko. Iamini habari hii. Mimi nimeifuatilia jikoni kwa Mhusika moja kwa moja,nilikuwa huko jana
 
Hzo kazi za kwenda kurogwa bado tu nyie mnazishobokea?
 
Hzo kazi za kwenda kurogwa bado tu nyie mnazishobokea?

usinambie majaji na mahakimu wote wa tanzania ni migomba orginal walisharogwa siku nyingi kumbe, dah ngoja nikasome ushonaji labla sitarogwa, huku haka kaLLB kangu kumbe kataniua
 
Back
Top Bottom