Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Kama gari linakwenda MBELE au kurudi NYUMA, lina ABIRIA au la MIZIGO, kodi yake tutaweza vipi kuipanga kwa magari yote, kwa vipindi vyote kwa miaka 49 ijayo? Wazo lako ni zuri lakini gari lenye matairi SITA au NANE au lenye matairi MANNE haliwezi kutozwa kodi sawasawa. Itakuwaje kwa wapandao pikipiki au baskeli na hasa wenye kubeba abiria? niambie hapa hapa ili niweze kufikiria jinsi ya kushiriki KATIKA MPANGO WA KUKUSANYA KODI.