Hivi kweli mtu aweza pata mwenzi kupitia jf????

KENTUS

Member
Jan 24, 2012
88
8
jamani wapenda na wadau wote wa JF! Jambo moja hunitatiza! hiv kweli kabisa mtu aweza pata mwenzi wa maisha humu au kupitia JF? mimi na naamini wapo wengine wengi tu kama mimi wanaohitaji wenza ila mimi nahofia kama kweli inawezekana kwan wadau naona kama mnanikatisha tamaa hasa ninapoona baadhi hata ushauri wao waliowengi wanapindisha they don't hit to the point. please je inawezekana kweliiiii? ushauri wako nauhitaji tafadhari
 
Keep your options open, JF is not the only place you can find someone and it was not created as dating site. I don't know may maybe maybe not, best of luck
 
JF unaweza pata marafiki, na nafikiri uhusiano ukianzia kwenye urafiki inaweza fanya kazi!

Ila siiamini ile ya kutangaza unatafuta coz inaonekana desparate, na utakaowapata wako desparate na hivyo kuficha baadhi za tabia zenu. Lkn huenda inawezekana; who knows, ni wachache sana ambao wanaleta feedback!
 
jamani wapenda na wadau wote wa JF! Jambo moja hunitatiza! hiv kweli kabisa mtu aweza pata mwenzi wa maisha humu au kupitia JF? mimi na naamini wapo wengine wengi tu kama mimi wanaohitaji wenza ila mimi nahofia kama kweli inawezekana kwan wadau naona kama mnanikatisha tamaa hasa ninapoona baadhi hata ushauri wao waliowengi wanapindisha they don't hit to the point. please je inawezekana kweliiiii? ushauri wako nauhitaji tafadhari

Muulize mke wangu mama gaude aka mayassa akupe ushuhuda..mi niko busy kukusanya siginecha za kutokuwa na imani ba baba mwanaasha .. Ushanifahamu!!
 
Hili liko na mitazamo tofauti na ni bahati ya mtu. humu unaweza kupata rafiki wa kawaida tu kisha unazaliwa huo upenzi, kitu ambacho kiko too compliated ni kwa kutangaza manake hata ukisoma comments za wengi utaona hazionyeshi kama they do care. wengi utaona ni utani au wanafanya mzaha.

lakini siwez kujua nini kinachoendelea behind the scene. manake unaweza kuta mtu akipost may be wanaopm kwa dhati ni wengi na kwakua pia mm sijawah kufanya hivyo basi ni busara waliokutana kwa njia hii wakatumbia ukweli.
 
Unaweza ukapata ila unahitaji muda mrefu zaidi kumuelewa huyo mwenzi kabla hamjaanza mahusiano rasmi lasivyo utaangukia pua.
 
Kuna love connect....unaweza pata ila wengi hawako kimapenzii humu.....
 
Muulize mke wangu mama gaude aka mayassa akupe ushuhuda..mi niko busy kukusanya siginecha za kutokuwa na imani ba baba mwanaasha .. Ushanifahamu!!

hahaaa..ungeandika kwa maswaga Mayasa ili apate taarifa kabisa.
 
Last edited by a moderator:
jamani wapenda na wadau wote wa JF! Jambo moja hunitatiza! hiv kweli kabisa mtu aweza pata mwenzi wa maisha humu au kupitia JF? mimi na naamini wapo wengine wengi tu kama mimi wanaohitaji wenza ila mimi nahofia kama kweli inawezekana kwan wadau naona kama mnanikatisha tamaa hasa ninapoona baadhi hata ushauri wao waliowengi wanapindisha they don't hit to the point. please je inawezekana kweliiiii? ushauri wako nauhitaji tafadhari

kama mungu amepanga umpatie jf itakuwa hivyo lakini kama sivyo haiwezekani,jaribu kuelewa kuwa hakuna sehem specific ya kumpata mwenza wa maisha,yaweza kuwa sokoni,club,barabarani,masomoni,hospital n.k ukielewa hivyo haitokusumbua.kama uko serious kumtafutia jf ni uamuzi wako binafsi kwa yumkini ni eneo unaloshinda zaidi na pengine unavyosoma thread za watu unaona wana vitu flan flan utakavyo.bt all in all mtangulize mungu
 
Wanawake wanapatika kila sehemu, vipi wasipatikane hapa.

Hapa wako wengi tu wanataka kuolewa...sema waendee kwenye private room.
 
kupata mweza hakuna formula, cha muhmu ni kumtanguliza Mungu na wote muwe serious.km alvosema mdau m1 hapo juu,kwanza mnaanza na urafk thn mkidevelop interest huku mkichunguzana na kuridhiana. NAWEZA SEMA INAWEZEKANA MKIWA SERIOUS....
 
Ni nini kinakufanya utafute mwenza JF?
makazini,kanisani ,misikitini,sokoni ,club kote wamekosekana?
 
inawezekana kabisa.....mfano halisi ni mimi mwenyewe....tumepatana mumu kwa humu.....na tukaoana humu humu....na tunazidi kukandamiza JF.....
 
kama mungu amepanga umpatie jf itakuwa hivyo lakini kama sivyo haiwezekani,jaribu kuelewa kuwa hakuna sehem specific ya kumpata mwenza wa maisha,yaweza kuwa sokoni,club,barabarani,masomoni,hospital n.k ukielewa hivyo haitokusumbua.kama uko serious kumtafutia jf ni uamuzi wako binafsi kwa yumkini ni eneo unaloshinda zaidi na pengine unavyosoma thread za watu unaona wana vitu flan flan utakavyo.bt all in all mtangulize mungu

Good point.....kaka naomba nikukaribishe gahawa mida ya jioni.
:focus: mkabidhi Mungu ombi lako kwa imani atakupa jibu.....hivi unaanzaje kuweka mahusiano ya kimapenzi na keyboard?!!! Labda uwe umeshawahi kuonana na mtu hapo mengine yanaweza kufata ila kwa hivi tu ndugu yangu sidhani. Na ukiwa desperate kiasi hiki utaliwa vibaya sanaaaa
 
Wanawake wanapatika kila sehemu, vipi wasipatikane hapa.

Hapa wako wengi tu wanataka kuolewa...sema waendee kwenye private room.

Hivi mtu akiwa anatafuta mwenza humu lazima awe mwanaume???????!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
jamani wapenda na wadau wote wa JF! Jambo moja hunitatiza! hiv kweli kabisa mtu aweza pata mwenzi wa maisha humu au kupitia JF ...

ni vizuri ujaribu mwenyewe huo utaratibu then utapata picha...
 
Back
Top Bottom