Hivi kweli Bush alikuja all the way kutoka US kuja kukagua Salon Magomeni Mapipa? au ndo yale yale

Ikwanja

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
2,082
581
Wakuu naomba kuuliza!

Hivi ni kweli Bush alikuja all the way kutoka US kuja kukagua salon ya nywele za akina mama pale Magomeni na kupokelewa na Rais wetu, au ndo tushauzwa? Nilishanga sana kuona hata shughuli kubwa za maswala ya Ukimwi hayakutangazwa kivile, lakini ujio wa huyu bwana ulikuwa kwenye news. mwe!!!!

Nimejiuliza maswali mengi sana bila kupata majibu. Kwa nini wasifadhili mambo ya muhimu kama ujenzi wa infrastructure za mashule, hospitali, barabara, maji nk lakini msafara mkubwa unakuja kukagua salon migomigo.

wadau nawaombeni mwenye taarifa kamili anisaidie, mi hiyo issue imeshindikana kuingia kichwani mwangu.

Nawasilisha.
 
Usishangae ndugu yangu, hii nchi imeshauzwa, kama kuna machinga wa kichina kariakoo na makahaba wao pia unashangaaa nini? You never know the disguised facts behind his visit to that saloon, si ulisikia yule muhudumu wa ile saloon alivyokuwa anaelezea training walizopata? Il apia JK aliniuzi alivyokuwa anashindwa kufanya translation ya yule mgonjwa wa saratani ocean road hosp
 
Wakuu naomba kuuliza!

Hivi ni kweli Bush alikuja all the way kutoka US kuja kukagua salon ya nywele za akina mama pale Magomeni na kupokelewa na Rais wetu, au ndo tushauzwa? Nilishanga sana kuona hata shughuli kubwa za maswala ya Ukimwi hayakutangazwa kivile, lakini ujio wa huyu bwana ulikuwa kwenye news. mwe!!!!

Nimejiuliza maswali mengi sana bila kupata majibu. Kwa nini wasifadhili mambo ya muhimu kama ujenzi wa infrastructure za mashule, hospitali, barabara, maji nk lakini msafara mkubwa unakuja kukagua salon migomigo.

wadau nawaombeni mwenye taarifa kamili anisaidie, mi hiyo issue imeshindikana kuingia kichwani mwangu.

Nawasilisha.

Mbona iko sawa tu,wetu si alienda kwa mr kichaka ku strike pose na sent hamsini?
 
Yani mimi nina hasira sana na hawa mambwa wa Ulaya na Marekani kiukweli kabisa i HATE THESE KILLERS MORE THAN DEATH....hivi kweli Bush na watu wote alioua anakuja hapa eti kuangalia Saloon?!!! huu ujinga kabisa halafu eti anaongozana na Rais hivi Rais wa Tz mbona ni cheap namna hii?!!! hivi mkapa anaweza kwenda Ulaya akaongozana na hata yule ****** Cameruni?!!!
 
Halafu, armnesty internationla wametoa walanti ya Bush kukamatwa kwa uhalifu, sis kwetu anapokelewa kama mfalme. Wazungu walivyo wajanja wanawaagiza waafrika kumkamata bush wakati alikua Canada walishindwa kumkamata, yaani sis ni majalala ya kila aina
 
sasa kama huduma za afya zibeboreshwa kwanini government officials bado wanaenda kutibiwa india?
 
Hapa akiwa magogoni alivyo na dharau kampa mkono wa mashoto kwa ******
lol huo mkono kwetu una maana mbaya.....

anyway nimeona aibu sana aisee....jamaa kaja kukagua saluni tz.....this country bana cant stop amazing me.....
 
lol huo mkono kwetu una maana mbaya.....

anyway nimeona aibu sana aisee....jamaa kaja kukagua saluni tz.....this country bana cant stop amazing me.....

Mwafrika mwafrika tu jamaa anacheka mpaka jino la mwisho linaonekana.
Huyu kaja kimasrahi Kigamboni na kule kusini Uranium
 
Ndugu zangu Walker Bush alikuja kuweka mambo sawa juu ya Uranium yetu basi. [ Millenium Challenge Account haiji bure] na huyu mkweree asipojifunza na kujua kuwa Marekani hawana rafiki isipokuwa kulinda strategic interests zao, basi angojee mpaka hapo watakapomuingiza choo cha wanawake kama walivyomfanyia Mobutu na Mubarak!! Kikwete should be careful otherwise these Yankees might put him in a "RAT HOLE" Je mnajua kuwa kwenye board ya Barrick Gold ndani humo BUSH yumo?
 
mbona ya kugawa neti hukuuliza. ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni...........usemi huu wa kwenye biblia unajidhihirisha katika awamu ya nne ya uongozi wa tz
 
sasa kama huduma za afya zibeboreshwa kwanini government officials bado wanaenda kutibiwa india?

Serikali inapenda hizi sifa wkt jana tumeambiwa wale wagonjwa walio kuwa wanalala chini Ocean Road wameondolewa wote ili Bush akipita aone mambo safi na jamaa wasifiwe
 
lol huo mkono kwetu una maana mbaya.....

anyway nimeona aibu sana aisee....jamaa kaja kukagua saluni tz.....this country bana cant stop amazing me.....

anatumia millions of money kwenda kwao kuomba msaada wa kuja kujengewa vyoo vya shule
 
wapo wanaotamani Mungu angekuwa anauza hewa ya oksijeni, watu washindwe kuinunua ili wabaki peke yao nchini Tz wafaidi maisha bila bughudha ya watu masikini wanaopiga kele kila uchao.
 
Lowassa sasa alie tu, urais atausikia kwenye bomba kudadadadadeki!
 
Hapo Ocean Road watu wanakufa hovyo wakati mkurugenzi Ngoma na msaidizi wake Msemwa [ wanajinufaisha] kwakufanya masahibu ya wagonjwa kuwa kitega uchumi chao na wizara ya Afya inawaangakia tu eti kwasbabu ya kuwa karibu na mama salma!!
 
Back
Top Bottom