Hivi kwanini watu wengine ni wabahili sana?

Na watu hao upenda sana vya wenzao, kwa ufupi naweza sema "chako changu changu changu" ndio style yao, kwani kuna mtu anazikwa na pesa au gold,jamani? Some people need change,

Naomba nimnukuu raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
"usipokubali kuliwa huli"
Mwisho wa kunukuu.
 
nadhani hii lugha ya hapa ni kwa watu maalumu, radar yangu imeshindwa kuelewa kabisaaaaaaaaaa! endeleeni wenyewe
 
sredi klozd. nadediketi wimbo wa 'achana na mimi kutoka kwa msanii matata jina kapuni' kwa hamisi kishindindo.
 
sredi klozd. nadediketi wimbo wa 'achana na mimi kutoka kwa msanii matata jina kapuni' kwa hamisi kishindindo.

Baadae log in kwa PC u do ze nidful kwa kunigongea like nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom