Hivi kwanini wanawake wengi wanapenda Wasukuma?

Nimekutana na wanawake wengi, na wanasema wanapenda sana wanaume wa kisukuma sijajua kwann wanapenda?

Nimesoma sehemu sijui kama inaweza kuwa ni sababu mojawapo. Kabila la Kisumkuma ni mifano ya makabila ambayo wanawake wakiteleza na kuzaa nje ya ndoa, wazee wa Kisukuma walikuwa wastaarabu sana kwa kuwa walikuwa wakiwafichia siri wake zao hususan kwa kuwa walikuwa na msemo unaofanana na wa ndege kula mbegu za pera na kinyesi chenye mbegu kuangukia kwenye shamba la jirani na kuokota. "Nimilija atina ngunda" maana yake "anayelima kibarua kwa mtu siyo mmiliki washamba".
 
Wanaume wakisukuma wanajua kumthamanisha mwanamke bwana asikwambie mtu pia wakishaoa hawana ile vunja vunja ndoa wavumilivu kwenye matatizo ,na pia hawana ubaguzi kwa ndugu kama wahaya na wachaga
 
ehe ulishawahi kuwa na msukuma?

pamoja na kuwa nimepanga suraali nyingi sana kama umri wangu lakini sijawahi kuwa na msukuma! nahisi kama wanatumia maguvu hata kwenye mapenzi???!!!! maana ile ongea yao tu ndio vile anakaza misuli sasa sijui akitaka kukupiga denda huku kapandisha munkari inakuaje:embarassed2::embarassed2:
 
lol...muhanga jamani!!! heri ya mwaka mpya, sijakusoma kitambo kweli!! huweshi vituko wewe!!

bora tu umejisemea unahisi...
 
Ni wazi humzungumzii huyu Msukuma chapa ya ng'ombe originale moja kwa moja toka Ikungulyabashashi Ntuzuland!

i hope haongelei Ngosha o bhagosha kutoka hukooooooooooooooooooooooooooooooooooo karibu na Nyamatembe
 
pamoja na kuwa nimepanga suraali nyingi sana kama umri wangu lakini sijawahi kuwa na msukuma! nahisi kama wanatumia maguvu hata kwenye mapenzi???!!!! maana ile ongea yao tu ndio vile anakaza misuli sasa sijui akitaka kukupiga denda huku kapandisha munkari inakuaje:embarassed2::embarassed2:
Sasa jaribu kukosea njia uingie kwa wasukuma matatizo yako yote yataisha. Hawa tumii miguvu kihivyo ila wanajua chumba kulikofichwa utamu. achawee
 
lol...muhanga jamani!!! heri ya mwaka mpya, sijakusoma kitambo kweli!! huweshi vituko wewe!!

bora tu umejisemea unahisi...

loh my dear mwaka mpya umeanza salama, sijaingia kupiga umbea wa vidole muda mrefu maana nilikuwa bize sana na ujenzi wa taifa, tunasukuma gurudumu la maendeleo ingawa zito kweli hata halisukumiki. ukweli nahisi tu hukusu wasukuma siwahi kupata ila kwa sasa nakaribisha wenye interest na mimi ili angalau nionje huko kuwadanganya kirahisi kama alivyosema the boss, maana huyu nilienae hata hadanganyiki loh!n yeye mwenyewe muongo kupindukia!:A S embarassed:
 
Sema mama sema! Msalimie shemeji langu.

ndo nshasema tena, nasubiri mtu aoshe kinywa hapa juu ya wasukuma aone...lol!!

halafu nimeona umesema eti hujawahi kufika Ikungu, sasa unalo la kukupeleka huko?
 
Ukipitia Bulima, busumabu, mpaka huku maeneo ya tinde. Yeeee ngosha.

Oh yeah....pande za Kizumbi, Nhelegani, Bunamhala, Ng'wamapalala, Dutwa, Gamboshi.....Yaani huko ni kunywa mabhele na kula michembe tu! Raha sana kwa kweli!
 
pamoja na kuwa nimepanga suraali nyingi sana kama umri wangu lakini sijawahi kuwa na msukuma! nahisi kama wanatumia maguvu hata kwenye mapenzi???!!!! maana ile ongea yao tu ndio vile anakaza misuli sasa sijui akitaka kukupiga denda huku kapandisha munkari inakuaje:embarassed2::embarassed2:

kama wewe utasikia raha mpaka utachanganyikiwa
 
Ukipitia Bulima, busumabu, mpaka huku maeneo ya tinde. Yeeee ngosha.

Aiii kumbe anael mwenyewe msukuma!!! ndio maana anajifagilia loh ningeingia mkenge bureee! kwangu mie kabila si hoja, uzuri wa sura wala tabia kwangu sio sifa, mie kwangu mwanamume pochi bwana, maana kwa pochi lake anaweza akanunua chochote hata akili yako pia, matokeo yake hata kama akiwa na tabia mbaya pia utaiona nzuri ! akiwa na chongo utaona kengeza! kama haina nguvu atainunulia viagra alimradi tu vibweka vya pesa hivyo!
 
loh my dear mwaka mpya umeanza salama, sijaingia kupiga umbea wa vidole muda mrefu maana nilikuwa bize sana na ujenzi wa taifa, tunasukuma gurudumu la maendeleo ingawa zito kweli hata halisukumiki. ukweli nahisi tu hukusu wasukuma siwahi kupata ila kwa sasa nakaribisha wenye interest na mimi ili angalau nionje huko kuwadanganya kirahisi kama alivyosema the boss, maana huyu nilienae hata hadanganyiki loh!n yeye mwenyewe muongo kupindukia!:A S embarassed:

gurudumu la maendeleo lilikwama, hata kwa grisi halitalainika...lol!!!
Wasukuma wanajitambua, kwa hiyo kama una nia ya kuwadanganya, heri tu uendelee kuweka juhudi kwa huyo 'chauongo' wako kuna siku utamuweza...lol!!!
 
ndo nshasema tena, nasubiri mtu aoshe kinywa hapa juu ya wasukuma aone...lol!!

halafu nimeona umesema eti hujawahi kufika Ikungu, sasa unalo la kukupeleka huko?
Sina la kunipeleka mwenzangu, nasubiri siku ukienda ukweni unipe mwaliko ndugu yako....
 
Back
Top Bottom