Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 474
Hilo ni swali au statement?
wewe kweli ni greater thinker
Hilo ni swali au statement?
wewe kweli ni greater thinker
niskype nikuambie unavyotakiwa semaHilo ni swali au statement?
Ni wazi humzungumzii huyu Msukuma chapa ya ng'ombe originale moja kwa moja toka Ikungulyabashashi Ntuzuland!
Nasikia akina dada husema Wasukuma wanajua sana mapenzi, ukiwanaye kitandani anafanya kweli.
Pia wanajua sana kujari.
Mura sasa naona unamtafuta ubaya JK.
Kwani kwenye malavidavi nako kunahitajika maamuzi magumu?