Hivi Kwanini Wanawake Wana Wivu Sana??

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,437
4,148
Najaribu Kujiuliza Sipati Jibu Ina Maana Wao Wanapenda Kuliko Sisi Au??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wana wivu sio kwa sababu wanapenda sana bali kwa kuwa wanajua utamu unatofautiana sasa labda huyo mwengine akikupa utaupenda utamu wake zaidi.
wasikudanganye eti nyama ile ile
 
Wanawake mabingwa tu wa kujifanyisha, manake wanaume nyie bila mtu kuwa na wivu mnahisi hampendwi, mtu akiwa na wivu msumbufu!!!!!!!!!!! MTU AFANYAJE MRIZIKE!!!!!!!!!
 
Ni wachoyo sana wanataka wamiliki ukuni peke yao bila kushare
 
Wanawake mabingwa tu wa kujifanyisha, manake wanaume nyie bila mtu kuwa na wivu mnahisi hampendwi, mtu akiwa na wivu msumbufu!!!!!!!!!!! MTU AFANYAJE MRIZIKE!!!!!!!!!

Wachache tu ndio wana mapenzi ya kweli lakini wengine wanakuweka tight tu ili usiende kwengineko!
Na hii inategemea na performance ya huyo mwanaume! Ila kwa bahati mbaya wale wanao perform vizuri
ndio inakuwa hawakamatiki!!!
 
Mwanamke huwa na wivu sana kuliko mwanaume kwa sababu hawapendi kabisa kushare dudu, hata chakula kizuri mwanamke hapendi kushare na wenzake, yeye na mumewe bhaas, hakuna cha mama mkwe wala nani. hivi ndivyo walivyoumbwa, lakini wanaume nao wana wivu pale wanapokuwa hawajiamini kama wapo peke yao.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom