Hivi kwanini wanawake wakiachwa wanakuwa na visasi?

mhm hapo mie nawadefend wanawake. unajua wanaume wengi wanakuwa wanawapa matumaini wanawake kuwa watawoa au kutakuwa na future huko mbeleni. sasa unakuta dada wa watu kainvest emotionaly, financially na energy just in the hope kuwa siku atakuwa mrs alafu wewe unaenda kuoa demu mwengine.

pia naelewa sana kuwa dada zetu ni wagumu sana kupanua miguu pale mwanaume anapo anapo kuwa mkweli kuhusu suala ka kutaka utamu tuu na kupoteza muda without serious commitment in the future. however, hiyo haimaanishi kuwa uumpe hope mwanamke ambazo hazipo.

hii nilishaona inawatokea wanaume wengi na sie wanaume tunashindwa kuelewa jambo moja; kweli mwanamke hawezi kukulazimisha wewe kumuoa ila sasa anaweza kukufanyia vituko ambavyo vitakukosesha raha kambisa kwenye hiyo ndoa yako na huyo mwanamke mwengine. tuwe makini na hawa dada zetu....kweli tunapenda K basi atleast tuwe wakweli kama hatunashida ya kuwaoa....or just nenda pale kona bar ujipate wakumgegeda umalize haja zako na sio kuwapa hope ambazo hazipo
Nimwkuelewa mkuu, ukiona mtu anamwuacha demu wake wa zamani na kuoa mwingine lazima kutakuwa na mambo yamemshinda
 
Nilimpigaga kaka mmoja kibuti bwana,nilimwambia nimekutana na muzungu na nikamwita dinner nikamwambia I was not attracted to him na akitaka Demu nitamtafutia.Hee mkaka alifika huyo alilia mkaka wa watu .basi akaanza kunistalk Mara akaanza kuweka pancha gari langu Mara anapiga simu Mara 8 kwa siku nikaanza kuona inakuwa hatari.haya akaanza kuendesha gari nyuma yangu eeh huyo ni mtanzania wa kwanza na wamwisho kudate.kumbe alikuwa hack my blackberry anajua kote ninakokwenda na simu zote anasikiliza .hee siku hiyo akaenda ofisini kwa mume wangu huyu muzungu.alichanganyikiwa akaanza kumtishia mzungu wangu Wewe chezea.nikaita 911 police wakaja wakamtoa.nikachukua restraining order mkaka hakusikia aka hack my Facebook email yaani ilikuwa checheli.huu mwaka wa 12 huyo Mkaka haja move on kutwaa kuniulizia kwa watu .mimi nimeolewa Nina mume na watoto .hilo likaka wanawake Wanambabaikia he is sick . AnaPigaga simu mpaka Leo ofisini kwa mume wangu wazazi wangu.so people are sick and clingy be careful

yaani unaroho mbaya jamani,si angekuwa hata kidumu cha pembeni tu?
 
Hivi mbona unafikiri ule msemo wa: "what goes around comes around uko sana kwenye relationship"? Kuna wengine ukisikia stori na mateso waliyopitia all in the name of love utasikitika. Kwa hiyo I can't judge labda hata mimi ningekuwa na visasi++ kama ningekuwa position ya mhusika. Believe it or not kuna some men and women out there who will always bring the bad and the ugly even in good sisters and brothers.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom