Hivi kwanini Wahindi na Waarabu hawajiungi vyama vya Upinzani?

Eeee, Kweli waarabu na Wahindi wamewachia nafasi waChina kujiunga na vyama vya Siasa, kama vile walivyowaachia nafasi ya biashara ndogo ndogo za mitaani( kuuza pweza, kuuza karanga na mihogo/mahindi) Kesho tutaona ikulu walioijenga waarabu enzi zileee..itakaliwa na Afro-Chinese !! tusione ajaabu Mungu atatuthibitishia.... subira ya vuta heri.. Tokyo40 mfundishe kaka yetu Kanina na mjulishe Dadaetu rosemarie vitisho tuvyo wapa matajiri nchini.... Na wala sii mbali tulimwaga ngano za B A K H R E S S A......

Mkuu. Hao wote wanaelewa, ila ubishi hao ni wa chuki, dhiki ya maisha na ubaguzi wa roho zao. Huwezi kuwapa fundisho watu kama hao.

Bora uwaachia na usingizi wao.......
 
Last edited by a moderator:
Wahindi na waarabu ni wezi na mafisadi,wanapokuwa ccm hawalipi kodi na wanaingiza vitu vya magendo na hata madawa ya kulevya hawakamatwi,kwani wanajua penye udhia penyeza rupia vitu ambavyo ni jadi ya ccm,wakiingia upinzani hawataiba maana huko hakuna wezi,wezi na mafisadi nchi hii ni ccm,kwahiyo waliona vema kuwa na wezi wenzao waibe vizuri,

Mkuu ume pambanuwa hoja vizur kabisa.
 
Wakienda upinzani wataitwa "wahamiaji haramu" Pili, wa-asia wengi dili zao nyingi ni haramu hivyo ccm inawafaa sana!!
 
Hawa jamaa wote ni wanachama wa CCM, kwanini hawaendi upinzani?

Subiri siku kikichukua chama kingine tofauti na ccm hao wote watajiunga na chama hicho wao hawana mapenzi na vyama, nia yao ni kuishi nchini chini ya wenye mamlaka tu
 
Mimi nilikuwa sijui ilo tunashukuru kwa kutufahamisha

Vilevile wachina hata wanadiliki kuvaa uniform za ccm ili waendelee kuwauwa tembo kwa kushirikiana na specialised dentist wa ccm
 
Ujiunge Upinzani uanze kuchunguzwa uraia wako..

Ujiunge upinzani ushindwe kukwepa kodi,

Ujiunge upinzani ufukuzwe nyumba unayokaa Bure Kisutu, Upanga, Na Posta, kkoo.

ujiunge upinzani ushindwe kuleta wale ndugu zako kiinyemela.

Kwa kuangalia yote haya Bora wakae CCM.
 
Ndio maana wizi wa epa, escrow na mdudu mengine wote warabu hamna wazawa wala wahindi. Na ndio maana watu wa majungu siku zote sio wazawa wala wahindi ni warabu tu. Oneni wenyewe majungu tuuuuu
 
Siasa chakavu, Domo zegee, Uongo na Unafiki, Ubadhilifu w mali na Umma...hapa TZ !! Hao jamaa (Waarabu/Wahindi) hawazikubali nazo ndo maana unapotezea !!! Kanina Saeedgenius
 
Last edited by a moderator:
Chanzo na asili ya pesa za uliowataja ni uhalifu mfano ujangili n.k. Kwakua sasa wengi wao ni matajiri na wameanzisha Biashara halali wanahitaji ulinzi wa Mali zao. Serikali ni ya CCM hi yo kuwa kwao CCM kunawapa ulinzi na kuwawezesha kufanya uhalifu wa kukwepa kodi. Upo Mkuu?
 
Hawa jamaa wote ni wanachama wa CCM, kwanini hawaendi upinzani?
Sababu zakutokwenda hizi hapa tena nimezikuta humuhumu JF !!

Kuwabagua wachaga ndani ya ccm itawamaliza 2015
Wadau nawasalimu sana:

Nina muda mrefu sana tangu mwaka jana sijaingia humu kwa majukumu ya Ccm na serikali pia, nimekuja humu kukishauri chama kwa huu upande baadhi ya makada wenzangu wamekuwa na kauli za kibaguzi kwa sisi wachaga tuliopo humu chamani na mifano na ushahidi ninao Wa kutosha tunapokuwa kwenye ziara za kichama na vikao vya ndani kauli kama " hayo mawazo yako pelekea Moshi" nawaambika kabisa kama hamtabadilika kwa kauli zenu za kutubagua wachaga itatugharimu 2015.

Mosi tazama kisa cha Arusha mjini jimbo linaloongozwa na chadema mbunge Wa pale ni kauli za kibaguzi za kabila zinazomchafua kila siku ndio maana Ccm tunapata upinzani ndani ya mkoa huu ,nawataadharisha kabisa huku kutubagua siye wachaga ndani ya chama itawagharimu sana kwenye chaguzi nyingi.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hatumchagui mtu kutokana na kabila lake Bali kutokana na vigezo vyake na hatutamkataa mtu kutokana na kabila lake.

Badilikine baadhi ya wajumbe wenzangu Ccm ina makabila tofauti na lengo ni moja kujenga chama na nchi.

Sababu zaidi ni USHIRIKINA hayo mambo hayaendani na Maadili yao !!
Kanina Tokyo40 Shy land
 
Last edited by a moderator:
Wazawa vs waasia let's see what's next. Same to you Zamiluni
Jibu lako ona hapo chini.......from inside JF humu humu !!

Kuwabagua wachaga ndani ya ccm itawamaliza 2015
Wadau nawasalimu sana:

Nina muda mrefu sana tangu mwaka jana sijaingia humu kwa majukumu ya Ccm na serikali pia, nimekuja humu kukishauri chama kwa huu upande baadhi ya makada wenzangu wamekuwa na kauli za kibaguzi kwa sisi wachaga tuliopo humu chamani na mifano na ushahidi ninao Wa kutosha tunapokuwa kwenye ziara za kichama na vikao vya ndani kauli kama " hayo mawazo yako pelekea Moshi" nawaambika kabisa kama hamtabadilika kwa kauli zenu za kutubagua wachaga itatugharimu 2015.

Mosi tazama kisa cha Arusha mjini jimbo linaloongozwa na chadema mbunge Wa pale ni kauli za kibaguzi za kabila zinazomchafua kila siku ndio maana Ccm tunapata upinzani ndani ya mkoa huu ,nawataadharisha kabisa huku kutubagua siye wachaga ndani ya chama itawagharimu sana kwenye chaguzi nyingi.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema hatumchagui mtu kutokana na kabila lake Bali kutokana na vigezo vyake na hatutamkataa mtu kutokana na kabila lake.

Badilikine baadhi ya wajumbe wenzangu Ccm ina makabila tofauti na lengo ni moja kujenga chama na nchi.

USHIRIKINA mtupu....Puuuuuyyff !!
 
Back
Top Bottom