Hivi kwanini Wahindi na Waarabu hawajiungi vyama vya Upinzani?

hilo la hawa jamaa kuwa ccm lina ukweli flani,..aman kaburu alihama cdm akarudi kwao ccm...
 
hawa jamaa wote ni wanachama wa ccm,kwa nini hawaendi upinzani?

wapo labda wewe mgeni. Shibodo yupo chadema mbona siyo mchaga? kule kwetu kigoma nakumbuka kafulila alikuwa anapambana na mgombea wa chadema ambaye ni mwarabu/muhindi. na wengine trace utawapata.
 
hawa jamaa wote ni wanachama wa ccm,kwa nini hawaendi upinzani?

They are opportunists and are ready to do anything for money.Ni CCM peke yake ambapo unaweza kufanya anything for money halafu ukaendelea kuwa mwanachama.CCM ni pango la wanyang'anyi.
 
...Katika utafiti wangu nimegundua kuwa watu wa asia na wasomali wanaoishi hapa TZ hata kama sio raia lakini wanajihusisha na ccm na vyama vya upinzani,hii ni kwanini.....
 
hizo.rangi w3ngi wao ni matajiri wanaokwepa kodi hivo kichaka cha wezi wanaovaa suti huwa ccm
sumaye alishasema ukitaka biashara yako iende vema ingia ccm
 
Halafu tunasema Tanzania hamna ubaguzi wa rangi. SMH.

Wakati wa uchaguzi kama ukija na kuona kwa macho badala ya kufanya uchunguzi wa kifitna, utawakuta Watanzania wenye asili ya kihindi na kiarabu wanapiga kura kama Watanzania wengine. Kama huamini, nenda Upanga.

Na mpuuzi mwingine alileta uzi hapa kuwa Upanga ni CCM tu baada ya kufanya "uchunguzi". Sasa zile bendera zinazopepea Fire ni za Chama na upanga Mashariki ni za Chama gani?

Hakafu, tunawakejeli weeee lakini mwisho tunaenda kwao kutibiwa, kusomeshwa, na kununua dawa za bei nafuu.
 
Hao wote ni wafanyabiashara, inabidi wajiunge na Chama fisadi ili wapige madili vizuri
 
Back
Top Bottom