Hivi kwanini Wahindi na Waarabu hawajiungi vyama vya Upinzani?

Upinzani gani unataka waende wakati nyie CDM mnasema chama cha upinzani Tanzania ni kimoja tu CDM
 
Wahindi na Waarabu ni kama Mnyama Paka tu, daima humfuata aliyeshika mpini. Utawaona tu 2015 Wakiwa wamejazana CDM baada ya Magamba Original kuwa Chama cha upinzani. Ndipo utakaposhangaa kumbe walikuwa na kadi za CDM kwa muda mrefu!
 
Afadhali wazungu tunawaona ndani ya CDM! Kuna mapadri wengi wakizungu hapa TZ!
 
Tumuulize rotam amepata hasara gani kwa kuwa mwana ccm wa kuaminiwa na kuiiibia nchi kwa niaba ya kikwete na ccm
 
Kigoma Jimbo aliloshinda Kafulila, Chadema ilimsimamisha Mhindi na alishiriki kwenye Mstakabali wa Uchaguzi ulieoendeshwa na TBC - Tido Mhando alishindwa kwa kura sio zaidi ya 200
 
waahindi na waarabu ni wafanyabiasa na biashara zao zinaambatana na magendo, kukwepa kodi, udanganyifu na corruption.....security yao na biashara zao ni kuwa wana ccm na kusupport chama kwenye uchaguzi!!
 
Back
Top Bottom