KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 17,924
- 32,120
wasalaam wakuu.....nashindwa kuelewa wakuu...kuna jamaa yangu mmoja tunakaa naye kitaa ambaye mwenzetu yupo kwenye ajira hapo bandarini..sasa kumbe jamaa kaambiwa atafute vijana kama kumi wa deiwaka..jamaa hakutueleza wala nini yeye kauchuna wakati yeye mwenyewe anaona watu wanavyosugua benchi maskani..mpaka makalio yameota sugu.....sasa nashindwa kuelewa kuwa ni roho mbaya au..nini,?