Hivi kwanini niendelee kuziamini mahakama?

Amiliki

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,085
1,004
Alinistua sana! Nasema Alinistua sana! Eti akiwa Jaji Mkuu, Mh. Augustino Ramadhani alipewa maagizo ya kutoa hukumu na "Wakubwa" ili iende kwa jinsi wanavyotaka wao ni kwa kuzingatia Weledi wa kazi yake!

Naogopa kumshitaki Mkubwa hata mtoto wake hata kama nikiwaona wananiulia Mzazi wangu kwa kuhofia hukumu ya kupangwa kwa jinsi alivyoelekezwa Jaji inaweza ikanifanya mimi ndie mwenye hatia.

Je kweli Watanzania tumefika hapo! Kweli Sofia Simba alisema kama nchi ingekuwa na utawala wa sheria Ole Sendeka angekuwa ndani siku ile CCM walipomjia juu Sitta. Kumbe kweli huyu mama anajua mengi kuhusu kutokuwepo kwa utawala wa sheria.

Nawakilisha.
 
Na lile la Diwani wa Tarime, anafungwa leo anaachiwa kesho kwa kesi za kusingiziwa.
La Zombe nalo kuna utawala wa sheria hapo.
Richmond, Dowans n.k kuna sheria hapo.
Mauaj ya Arusha na Nyamongo kuna sheria hapo.
Ni meng, mahakama zipo kwa ajil ya kutmiza matakwa ya wakubwa.
 
Kama Jaji Mkuu anatishwa, je itakuwaje hawa Mahakimu wadogo! Ndio maana Ridhiwani alikuwa na kiburi cha kutaka kuwashitaki Dr na akina Mtikila!

Kweli we are kwishney!
 
Linganisha kesi ya Chenge na ya dreva wa Chacha Wangwe.
Jikumbushe kesi ya mtoto wa Rupia na ya mtoto wa Kingunge mwenendo wa kesi ya Ditopile na ya Liyumba na dhamana tata bila kusahau ya mgombea binafsi na nyingine nyingi hapo utapata picha ya mahakama zetu
 
Jaribu kuuliza wale wauzaji wakubwa wa dawa za kulevya pamoja nae mama Leila bado wameshikiliwa? Na kama jibu ni hapana, waliachiliwa na chombo gani? Jibu-
'MAHAKAMA YA JAMHURI YAA TANZANIA.
.
 
Jaribu kuuliza wale wauzaji wakubwa wa dawa za kulevya pamoja nae mama Leila bado wameshikiliwa? Na kama jibu ni hapana, waliachiliwa na chombo gani? Jibu-<br />
'MAHAKAMA YA JAMHURI YAA TANZANIA.<br />
.
<br />
<br />
changanua mkuu maana kuna mchungaji mwanamke tulisikia kontena la madawa lilikamatwa ila hatujui issue iliishaje..
 
Alinistua sana! Nasema Alinistua sana! Eti akiwa Jaji Mkuu, Mh. Augustino Ramadhani alipewa maagizo ya kutoa hukumu na "Wakubwa" ili iende kwa jinsi wanavyotaka wao ni kwa kuzingatia Weledi wa kazi yake!

Naogopa kumshitaki Mkubwa hata mtoto wake hata kama nikiwaona wananiulia Mzazi wangu kwa kuhofia hukumu ya kupangwa kwa jinsi alivyoelekezwa Jaji inaweza ikanifanya mimi ndie mwenye hatia.

Je kweli Watanzania tumefika hapo! Kweli Sofia Simba alisema kama nchi ingekuwa na utawala wa sheria Ole Sendeka angekuwa ndani siku ile CCM walipomjia juu Sitta. Kumbe kweli huyu mama anajua mengi kuhusu kutokuwepo kwa utawala wa sheria.

Nawakilisha.
Jiandaeni kufa tuende kwenye maandamano tutoe hukumu wenyewe! JK na serikali yako ni JANGA LA KITAIFA.
 
Back
Top Bottom