Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Hivi ni kwanini lakini....................akichachamaa mwishowe wake huwa ni mtamu kama alivyonisumbua...........but why is it like this................................if she plays hard to get she gets my sole attention................but the vice versa puts me in a sleeping bag!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Can you believe this?
Hivi ni kwanini lakini........yule ambaye ameniheshimu na kuona si busara kunisumbuasumbua kwa kunichapa kalenda.......huishia mimi kupoteza hamu naye mapema...............yaani siridhiki naye.......yule ambaye ndiye anaonekana mkatili machoni kwangu huishia kunivutia na kunipa penzi ambalo ninalolihitaji..........
Am I alone on this mad love confusion.......................au wengine nao tuko kwenye behewa moja?
fungukeni nyote bila ya kujivunga........................au ndiyo maana kuna usemi usemao "Ng'ombe mkali maziwa yake ni matamu." ?
This is a confession of serial heartbreaker in his own autograph..................nimeona nitoe ufafanuzi maana baadhi ya wachangiaji wanafikiri ninajiongelea mwenyewe....sorry for the inconveniences caused, so far........Frankly speaking am too preoccupied with loving GOD to behave in this manner.......