hivi kwanini madokta story zao ni pombe na hela tu (mishara juu)

Pana shida hapo, mleta mada nadhani hangover za weekend hazijakutoka bado
 
Halafu wewe ulikuwa unafurahia tu jana anavyosokonyoa mali zako au?,

Doctor aliniambia nisubiri nje, tulipofika home wife ndio akanisimulia,

....Lakini nimesikia kuwa checking ya uzazi ndivyo ilivyo
 
Sina hamu na madoctor ni watu wabaya sana.....,Nilimpeleka hospita mke wangu siku moja, alikuwa na tatizo la uzazi, basi doctor(man) alimwabmia avue chupi halafu alale juu ya kitanda....na doctor akawa anasokonyoa kitumbua kama dakika 20

ni moja ya examination procedure. Kila watu wana namna yao na process zao za kufanya kazi. Jambo usilolijua ni usiku wa kiza. Ungeniambia aliingiza mguu wa tatu kwenye kitumbua chako ningeandamana pamoja na wewe.
 
Sina hamu na madoctor ni watu wabaya sana.....,Nilimpeleka hospita mke wangu siku moja, alikuwa na tatizo la uzazi, basi doctor(man) alimwambia avue chupi halafu alale juu ya kitanda....na doctor akawa anasokonyoa kitumbua kama dakika 20

he he he nimecheka kichizi nadhan na uchovu umeisha. ndo mojawapo ya vipimo vya via za uzazi. wanawake wote wameshaexperience hilo. @Bolfo ukizeeka utaanza kupimwa kwenye rectum kwa kidole (PR) kuangalia size ya prostate gland. ukirudi home umenuna hata wife humuhadithii
 
Hapa naona mtoa mada hana lolote zaidi ya chuki tu kwa madaktari.
 
Ukweli wewe utakuwa ni Biladina Nyomi au kabila yake acha dhihaka!!! Juzi hapa kuna mh 1 alipotolewa eneo la ajali akaomba asipelekwe MMC!! Tukamuuliza wewe nani akasema yeye ni ndugu wa aliyekuwa kiongozi MOH hivyo sister alipokuwa hapo alikuwa anawaita wanamtibu lkn sasa hawezi kwenda MMC, Sasa usitukane tena nyie fanyeni uhasibu pesa mtaleta kwetu kama siyo kwa lazima kwa hiari na kubembeleza tutawalipa humu ktk kliniki
 
Back
Top Bottom