Hivi kwanini Kikwete haitwi tena Dr?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,062
79,089
Ni jambo la kushangaza yale magazeti yetu ya dailynews na runinga za TBC wameacha kale ka mtindo cha kumuita Kikwete Dakta aka Dr Jakaya Kikwete! kulikoni? amenyang'anywa zile shahada zake za heshima? Mteendeeni haki kama mlivyoanza kuvumisha Udakta wake inabidi muendelee hivyo hivyo au la mnamshushia heshima ati! Ushahuri tu...la sivyo mtamfanya aanze safari za kusaka udakta mwingine this time atakatika mitaa ya China na Urusi! chonde chonde mpeni heshima yake!
 
Ni jambo la kushangaza yale magazeti yetu ya dailynews na runinga za TBC wameacha kale ka mtindo cha kumuita Kikwete Dakta aka Dr Jakaya Kikwete! kulikoni? amenyang'anywa zile shahada zake za heshima? Mteendeeni haki kama mlivyoanza kuzumisha udakta wake inabidi muendelee hivyo hivyo au la mnamshushia heshima ati! Ushahuri tu...la sivyo mtamfanya aanze safari za kusaka udakta mwingine this time atakatika mitaa ya China na Urusi! chonde chonde mpeni heshima yake!
Pengine matokeo ya form 4 yamemfanya atafakari kwa kina athari za kujiita dakta maana vijana washaona short cut ya kuitwa udaktari ni kuwa mwanasiasa basi unakuwa sawa sawa na mtu mwenye PhD. hahahaha
 
...............

His Excelleny Mr President and CCM Chairman, Alhaj, Dr. Dr. Dr. Col and Professor of Ckch.

Anapenda misifa kama huyu punguani mwenzake (RIP):

"His Excellency, President for Life, Field Marshal, Al Hadji, Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Conqueror of the British Empire (CBE) in Africa in General and Uganda in Particular"
 
Ile ilikuwa ni janja ya kuwachanganya wananchi wajue kwamba yupo sawa na yule Phd holder.

Dr. Kikwete and Dr. Slaa. Kazi wamemaliza na sasa anaitwa Ndugu Kikwete
 
Mtu Mwizi akishajulikana hawezi kuitwa Dr. kwa sababu hata kama ameupata kihalali tayari kunakuwa na maswali mengi.
 
Kwa jinsi nchi inavyoendeshwa kiuswahili swahili lazima nafsi imemsuta kiasi cha kukosa raha ya kuitwa Dr. Cheo ambacho kwake ni halali ni Prof. wa kuchakachua.
 
Ni jambo la kushangaza yale magazeti yetu ya dailynews na runinga za TBC wameacha kale ka mtindo cha kumuita Kikwete Dakta aka Dr Jakaya Kikwete! kulikoni? amenyang'anywa zile shahada zake za heshima? Mteendeeni haki kama mlivyoanza kuvumisha Udakta wake inabidi muendelee hivyo hivyo au la mnamshushia heshima ati! Ushahuri tu...la sivyo mtamfanya aanze safari za kusaka udakta mwingine this time atakatika mitaa ya China na Urusi! chonde chonde mpeni heshima yake!

Be more objective.Hivi akiitwa Dr. au asipoitwa, wewe unapata faida gani.Kwa nini tusi-discuss mambo yenye manufaa zaidi kwa jamii?
 
Kwani wewe unafikiri kunatatizo gani tukijadili udokta wa kikwete, usitufanye hatujui chakudiscuss. Slaa ni Dr. wa ukweli nakikwete je? lazima tudiscuss na sio kutubana, kama wewe unaona huwezi changia au thread hii haina faida kwako, basi ipotezee.

Be more objective.Hivi akiitwa Dr. au asipoitwa, wewe unapata faida gani.Kwa nini tusi-discuss mambo yenye manufaa zaidi kwa jamii?
 
Back
Top Bottom