kweli we ni kiazi unajua SUA kimeanza mwaka gani ili useme zamani ilikuwa ud tu.
Sasa wewe wa UDSM unapiga kelele hivi na kujiona una akili kuliko wenzako na kudai wa div 2 na 3 wasisome hapo,anayesoma Stanford ama Havard University asemeje?Hivi nyie mnajua kwanini mnasoma?!!
Hatusomei fashion,acheni mambo ya kisekondari hapa,unasoma ili uboreshe maisha yako na jamii inayokuzunguka kwa ujumla.Wangapi wamesoma UDSM na leo hii wanasota kitaa wakati waliosoma vyuo vingine mnavyovidharau wanapeta na kazi zao zenye mishahara ya kuwawezesha kuweka vijiwe Moven pick ama Kempisky!!
Watoto mtapotea kama hamjui malengo ya kusoma na ndoto zenu!
Naona bado mko enzi za kuwaringishia wenzenu kwamba kwenu mna Television!Hahahaha
usiwe mbinafsi hao wenye div. 3 hawastahili kusoma?? Kwanini mnakuwa na fikra hasi? Elimu ni uwezo sio cheti kuweni na fikra pana.
Wanajukwaa hili la elimu ningependa tujadili sababu ya chuo kikuu mlimani kushusha cut-off point(kiwango cha chini kabisa kuingia chuo) katika miaka ya hivi karibuni na mpaka hivi sasa madaraja ya 2 na 3 ndio yamejaa ukilinganisha na miaka ya nyuma daraja la kwanza ndio kilikua chuo kile.
Tuchangie kwa lengo la kujua matatizo yanayo kikabiri chuo chetu kikongwe,Je ni ubovu wa uongozi? Idadi ya daraja za kwanza zinaishia wapi? Au taaluma zinazotolewa pale ni outdated kwahiyo wanafunzi wamegundua ndio maana wajanja hawakichagui? Au Wanafunzi wanafuata mashinikizo ya kaka na dada zao kuwa mlimani imebaki jina tu? Hoja yako inaitajika.

Siasa ndugu yako ili kutekeleza ilani ya CCM
Kuna kitu kingine inabidi mjue UDSM shule ya hapo yaani wanabana kisawasa mpaka mtu anaondoka na GPA ambayo siye ya kwake.
Hizi habari nizakweli na wahitim wengi wa form6 wanaelezwa mtaani then wanaona isiwe tabu.Nakumbuka TA mmoja huwa anatutisha kwamba yeye ndo anauwezo wa kukufanya upate duguri au usup!!
Sasa TA akishakuwa na mamlaka kama hayo unategemea nini? Mtu unaona ata kama umeonewa unaacha ku appeal kwani uwezi shinda.
Kuna jamaa tunapiga naye yaani mkiwa kwenye seminar wote mnakubali ata hawe prof au lect na TA kwenye coz anapiga 31,25,27 lakini UE makalai au plain gpa kicheko.WHY?mh uwezi pata jibu.
wenye three kwani lazima wakasome ud wakati udom ipo kwa ajili yao?
Kuna ajabu gani hapo? Kwenye seminar na assignment ana-download na kudanganya lakini kwenye UE anabanwa hasa. UD remains the best quality university in Tanzania, may be even SUA and MUHAS. The rest are a bit better than dignified secondary schools. There is ample evidence.Kuna kitu kingine inabidi mjue UDSM shule ya hapo yaani wanabana kisawasa mpaka mtu anaondoka na GPA ambayo siye ya kwake.
Hizi habari nizakweli na wahitim wengi wa form6 wanaelezwa mtaani then wanaona isiwe tabu.Nakumbuka TA mmoja huwa anatutisha kwamba yeye ndo anauwezo wa kukufanya upate duguri au usup!!
Sasa TA akishakuwa na mamlaka kama hayo unategemea nini? Mtu unaona ata kama umeonewa unaacha ku appeal kwani uwezi shinda.
Kuna jamaa tunapiga naye yaani mkiwa kwenye seminar wote mnakubali ata hawe prof au lect na TA kwenye coz anapiga 31,25,27 lakini UE makalai au plain gpa kicheko.WHY?mh uwezi pata jibu.
Wanajukwaa hili la elimu ningependa tujadili sababu ya chuo kikuu mlimani kushusha cut-off point(kiwango cha chini kabisa kuingia chuo) katika miaka ya hivi karibuni na mpaka hivi sasa madaraja ya 2 na 3 ndio yamejaa ukilinganisha na miaka ya nyuma daraja la kwanza ndio kilikua chuo kile.
Tuchangie kwa lengo la kujua matatizo yanayo kikabiri chuo chetu kikongwe,Je ni ubovu wa uongozi? Idadi ya daraja za kwanza zinaishia wapi? Au taaluma zinazotolewa pale ni outdated kwahiyo wanafunzi wamegundua ndio maana wajanja hawakichagui? Au Wanafunzi wanafuata mashinikizo ya kaka na dada zao kuwa mlimani imebaki jina tu? Hoja yako inaitajika.
Sasa wewe wa UDSM unapiga kelele hivi na kujiona una akili kuliko wenzako na kudai wa div 2 na 3 wasisome hapo,anayesoma Stanford ama Havard University asemeje?Hivi nyie mnajua kwanini mnasoma?!!
Hatusomei fashion,acheni mambo ya kisekondari hapa,unasoma ili uboreshe maisha yako na jamii inayokuzunguka kwa ujumla.Wangapi wamesoma UDSM na leo hii wanasota kitaa wakati waliosoma vyuo vingine mnavyovidharau wanapeta na kazi zao zenye mishahara ya kuwawezesha kuweka vijiwe Moven pick ama Kempisky!!
Watoto mtapotea kama hamjui malengo ya kusoma na ndoto zenu!
Naona bado mko enzi za kuwaringishia wenzenu kwamba kwenu mna Television!Hahahaha
Umenena vyema kabisa mzeeTatizo kubwa ni siasa, kuingia kwenye Elimu.
Chuo bora ni kile kinachombadili mjinga awe mjanja, na sio chuo kinachowafanya wajanja waendelee kuwa wajanja.
Hapa UD tunaona watu kibao wanaingia kwa div 1 na wanadisco wakiwa first year, wapo waliokuwa na div 3 lakini wameondoka na GPA za maana. Chuo kinaangalia uwezo wako katika masomo uliyosoma o-level na a-level yanayoendana na course uliyoiomba na sio kuwa wanaangalia division yako tu. Kuna watu wa first year mwaka huu wamechaguliwa wasome sociology but walipoomba wabadilishiwe wapewe B.A economics but wamekataliwa kwa kuwa wanachoangalia sio division ni masomo ambayo yana uhusiano na unachotaka kusoma.
ufafanuzi huu nimeuelewa,maelezo yametosheleza.kusoma ni kuelewa na si kufaulu tu,div1,2na3 not more than a number
UNAJUA MADHUMUNI YA CUT OFF POINT MKUU? HILI NDIO SWALI LA MSINGI KABISA KUJIULIZA SAWAWanajukwaa hili la elimu ningependa tujadili sababu ya chuo kikuu mlimani kushusha cut-off point(kiwango cha chini kabisa kuingia chuo) katika miaka ya hivi karibuni na mpaka hivi sasa madaraja ya 2 na 3 ndio yamejaa ukilinganisha na miaka ya nyuma daraja la kwanza ndio kilikua chuo kile.