Wanajukwaa hili la elimu ningependa tujadili sababu ya chuo kikuu mlimani kushusha cut-off point(kiwango cha chini kabisa kuingia chuo) katika miaka ya hivi karibuni na mpaka hivi sasa madaraja ya 2 na 3 ndio yamejaa ukilinganisha na miaka ya nyuma daraja la kwanza ndio kilikua chuo kile.
Tuchangie kwa lengo la kujua matatizo yanayo kikabiri chuo chetu kikongwe,Je ni ubovu wa uongozi? Idadi ya daraja za kwanza zinaishia wapi? Au taaluma zinazotolewa pale ni outdated kwahiyo wanafunzi wamegundua ndio maana wajanja hawakichagui? Au Wanafunzi wanafuata mashinikizo ya kaka na dada zao kuwa mlimani imebaki jina tu? Hoja yako inaitajika.