Hivi kwanini CCM hawakumfungulia kesi Zitto?

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Wana JF kuna jambo la kujiuliza kwa tabia ya CCM na jinsi walivyowafungulia kesi karibu wabunge wote machachari wa CHADEMA kwa nini Zitto hawamgusi zaidi wanashirikiana na kupongeza mara kwa mara na anaonekana kipenzi chao.
 
Zitto na uzandiki wake wa kujipendekeza CCM lakini hawezi kuhusika kwa namna yeyote na majambazi,mumiani,wezi wa haki za wananchi CCM mwenye songo mbingo na mdhulumu haki za wananchi ni mwenyekiti wa CCM, na amiri jeshi mkuu Mh Jakaya Mrisho Kikwete na Usalama wa taifa ni watu wabaya sana wana roho ya kuangamiza taifa letu,tusipo simama imara kusimamisha hii hali kwa nguvu ya umma tunaelekea kubaya ,wale waliosema Mh Jakaya ana visasi nimewakubalia Kwa kweli kwa sasa anachokifanya ni kupinguza nguvu ya Dr Slaa yeye nasikia anamwita mbwa

Zitto aachwe kwenye hili hakuna sababu yakumpa publicity ya kijinga
 
Ukitaka upate laana ya milele mfungulie kesi ZITTO,
zitto ni smart,proactive politician of this era!
ZITTO for prezdaaaaaaaaaaaaaa 2015 ila sijui kama atapita kizuizi cha wamiliki wa taasisi!
 
Zito ni ovyoooo.anashirikiana na magamba kuangamiza cdm

Umejidhalilisha sana mkuu!
mawaziri wanatetemeka bungeni kwa ajili ya zitto!
Zitto for presidency 2015 ila sidhani kama wahafidhina na wamiliki wa taasisi watamruhusu!
 
Hoja haina mashiko?Zitto ni jembe na anafanya kazi kubwa kuifanya chadema izidi kuwa imara.Kwa mtu yeyote anayeangalia bunge na kufuatilia mikutano ya hadhara ya zitto atakubali umuhimu wa ZK Chadema
 
Ukitaka upate laana ya milele mfungulie kesi ZITTO,
zitto ni smart,proactive politician of this era!
ZITTO for prezdaaaaaaaaaaaaaa 2015 ila sijui kama atapita kizuizi cha wamiliki wa taasisi!

Are talking of CHADEMA 's Zitto or someone else? Zitto ni Jembe Kiboko ya Magamba ukikata Kumjua Zitto Go and Ask Sitta (Kirumba) Kilango Malecela ( Kiwira) and Nchimbi (Songea). Hao ndio wana CCM wanaomfahamu Zitto na siyo wewe Kidampa Tume ya Katiba
 
Yani siku 2 za kwanza tu tangu Bunge lianze Zitto kashatikisa mpaka mmejipanga kiasi hiki! Sijui mpaka wiki 2 hizi za Bunge zikiisha mtakuwa mmeshaanzisha thread ngapi za kizushi juu ya Zitto
 
Wana JF kuna jambo la kujiuliza kwa tabia ya CCM na jinsi walivyowafungulia kesi karibu wabunge wote machachari wa CHADEMA kwa nini Zitto hawamgusi zaidi wanashirikiana na kupongeza mara kwa mara na anaonekana kipenzi chao.

CCM Hamchoki? Mnaanzisha Thread mkijibu wenyewe wengine mkijifanya Watetezi wa Zitto wengine Wapondeaji wa Zitto. I hate you CCM
 
Umejidhalilisha sana mkuu!
mawaziri wanatetemeka bungeni kwa ajili ya zitto!
Zitto for presidency 2015 ila sidhani kama wahafidhina na wamiliki wa taasisi watamruhusu!

Mwacheni Z aitwe Z na CDM IITWE CDM.A STRATEGIC AND WELL CONSOLIDATED POLITICAL PARTY EVERSEEN IN TZ.
 
umejidhalilisha sana mkuu!
Mawaziri wanatetemeka bungeni kwa ajili ya zitto!
Zitto for presidency 2015 ila sidhani kama wahafidhina na wamiliki wa taasisi watamruhusu!
kila mtu ana haki ya kujiunga jf..ila nina wasiwasi sana na nyie mnaojiunga hivi recently..maoni yenu yananipa wasiwasi sana kwenye harakati hizi za ukombozi wa tz!!!!!!
 
Israel Yohana, Peter Msigwa, Salvatory Machemli, Mustafa Akonaay, Sugu, Silinde, Mbowe, Ndesa Pesa na wao hawajafunguliwa kesi unawaweka kundi lipi?

Akili za kupewa changanya na zako!
 
Kuna kipindi aliwahi kupewa adhabu ya ajabu ajabu kutohudhuria vikao vya bunge mpaka Salome Mbatia akafa, aliyependekeza Zitto apewe adhabu kali naye alikatwa mkono ule ule ulionyooshwa kwa spika kumwadhibu Zitto.
Zito ni ovyoooo.anashirikiana na magamba kuangamiza cdm
 
Back
Top Bottom