Hivi kwa saizi inawezekana

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Samahani wakubwa hivi kwa sasa tangu tuanze kutuma maombi ya vyuo kama ya ualim kuanzia diploma na certificate moja kwa moja wizarani JE inawezekana endapo muhusika nikaenda kuomba nafasi kwa coz ya ualimu au kilimo kwa ngazi ya certificate katika chuo husika Na kufanikiwa kupata nafasi!!?
 
Back
Top Bottom