Hivi kwa nini?

Spinster

JF-Expert Member
Mar 19, 2012
487
138
hivi kwa nini utakuta unayempenda hana mapenzi na wewe,lakini usie mpenda uwiiii yani anakuganda mpaka basi...kwa nn?
 
Akisha kupata utaona mapenzi yanapungua, halafu atajitokeza mwingine kukuganda tena...these thinx generate themselves,
 
hivi kwa nini utakuta unayempenda hana mapenzi na wewe,lakini usie mpenda uwiiii yani anakuganda mpaka basi...kwa nn?

kwenye maisha kila kitu kina sababu lakini in this case hata mie celewi ni kwa nini ipo hivyo..
 
Wengine hubahatika wakakutana wanaopendana sana na hata kufanikiwa kufunga pingu za maisha.

hivi kwa nini utakuta unayempenda hana mapenzi na wewe,lakini usie mpenda uwiiii yani anakuganda mpaka basi...kwa nn?
 
Wengine hubahatika wakakutana wanaopendana sana na hata kufanikiwa kufunga pingu za maisha.

eti eeh...bt hyo ni golden chance....na huja kwa bahat mana kukuta watu wamependana mia mia ni adimu sana
 
ingekuwepo hiyo ya kupendana wote kucngekuwepo na broken heart.....i dnt knw y but ucyempenda ndio anakupenda sana.
 
mapenzi nayo ni dynamic.... yanaweza kupungua, kuongezeka au kuisha kabisa with time
 
Back
Top Bottom