hivi kwa nini?

Msome vizuri tena mleta habari Nyamayao....naona huyu baba na hiyo nyumba ndogo wana mgogoro baada ya kufumaniana upo hapo??

Ndugu yangu,
mbona kama vile unahalalisha huo uhusiano haramu? hata wasingegombana bado si halali.Now that wana mgogoro isiwe ndo sababu!
Halafu kuna hii dimension nyingine hatuizungumziii --- gonjwa lisilotibika la UKIMWI.Hivi huyu baba akili zake zimo au wamehama? UWE NA HAWARA YAKO TENA SI MUAMINIFU ( ushahidi - umemfumania na mwanaume mwingine!) halafu unaenda pekupeku hakuna kinga wala nini hadi mnatotoa??? Hapo ndo nashindwa kabisaa!!
 
Nyamayao tufanye wewe ndio huyo nyumba ndogo utakubali mwanao achukuliwe akiwa na umri mdogo kiasi hicho? Akalelewe na mama mwenye mtoto wake mchanga ? Unless wewe huna kabisa uwezo wa kumlea mwanao

ni ngumu sana kumuacha mtoto mdogo kiac hicho, huyo baba aliongea na huyo binti, binti ndio akamtuma baba aje aseme/amweleze wife kama ataafiki bac yeye atamwachia mtoto am2nze, nadhani binti ni yule binti mapepe,anataka a2nziwe yeye atanue ki mpango wake.
 
Ndo maaana iwa tunasema nyie wanawake mna roho mbaya sana mna roho za kutu roho za kwa nini...hivi kwa nini jamani utafikiri sio mzazi?Je mama yake angekufa?Huyu mama kafumaniwa jamaa kaamua kuchukua kilicho chake mnataka afanyaje?

wewe fidel wewe ucseme kabisa, unaweza ukamchukua huku nyuma wakaja kuendelea na mapenzi moto moto kuliko awali, nyie wanaume c watu wa kuchekewa kabisa.
 
walipokuwa wanakaribia kuoana, mwanamke alimuliza mchumbake(kwa wakati huo) kama ana watoto/mtoto nje ili awe analijua hilo na angependa wamchukue waishi pa1, mwanaume alisema ana 1 wa kiume! wameoana miaka mi4 iliyopita wanaishi na huyo mtoto pa1 na wakwake wa kike, anampenda mtoto wa kiume kama wa kwake wa kumzaa, alianza kuckia tetec kwamba mume wake anatembea na mdada fulani kuulizwa mwanaume kakanusha, akackia mdada mjamzito baadae kajifungua mtoto wa kiume kumbe ni wa mumewe(awali alikana kumtambua huyo binti), jana mwanaume anamwambia kuna mtoto inabidi aje aishi pale coz amekorofishana na huyo mama wa mtoto( amemfumania) sasa anataka amlete hapo waishi pa1 ili aachane kabisa na huyo binti wa nje, mwanamke hajui cha kufanya anasema yeye kwa nini alee tu watoto wa wenzie na usumbufu kila kitu na ka baby bado miezi 4 kaingize 2yrs, aliniomba ushauri na mcmamo wangu cku zote hata kwa mr ni huu:

mie pia naishi na mtoto wa mr niliemkuta nae, but nilishamwambiaga mr, mtoto chini wa huyu wangu wa kumzaa ctampokea nyumbani kwangu umtafutie makazi yake, naishi na huyo niliemkuta coz nilimkuta,so mie nikamwambia hapo cna cha kukushauri mana kwangu icngewezekana kumchukua huyo mtoto.

naomba 2msaidie.
inaonesha huyo mchumba au mume wako c mwaminifu, ila kwa kuwa yameshatokea kaen i mzungumze yaishe mtoto hana kosa, kaa nae na umlee kama mwanao ila kwa mashart ya kuwa akiri kutorejea tena makosa, pole kwa mtihan uliokukuta
 
Msome vizuri tena mleta habari Nyamayao....naona huyu baba na hiyo nyumba ndogo wana mgogoro baada ya kufumaniana upo hapo??

Aksante kwa kunielewesha Fidel80 nadhani sikuwa nimemwelewa vema nyamayao. Nilidhani kwa kuwa wana mgogoro ndo amnyang'anye mtoto kumbe binti mwenyewe ndo alitoa hiyo option. Nilikuwa napata emotions yaani kale kadume kangu ka mwaka mmoja afu mtu aje anambiie ng'ong'ong'ong'o ng'ong'ong'ong'o yaani sitamwelewa kabisaaaa.

Lakini pamoja na hayo nini kitamzuia huyo baba kutafuta kimwana kingine akizalishe afu akorofishane naye tena alete mtoto unless tunafungua Baby care centre!!

wanaume ninyi watu wa ajabu sana huwa hamangalii chanzo cha tatizo bali how it has been handled hapo mwanamke akikataa mtasikia analaumiwa bila kukumbuka kuwa they aer supposed not to have those nyumba ndogo in the first place achilia mbali kuleta mtoto mdogo kuliko umri wa ndoa yake ah.
 
inaonesha huyo mchumba au mume wako c mwaminifu, ila kwa kuwa yameshatokea kaen i mzungumze yaishe mtoto hana kosa, kaa nae na umlee kama mwanao ila kwa mashart ya kuwa akiri kutorejea tena makosa, pole kwa mtihan uliokukuta

ucniache hoi kabisa, "kwa masharti ya kuwa akiri kutorejea"...haaa jamani kama mke alishackia uhusiano na kuhoji na akakaniwa mpaka bac, sasa hivi atakuwa na uhakika gani hata akikiri kivipi?
 
kumchapa/kumkemea panapostahili ni muhimu aise, ni ngumu jamani kumchukua, na yeye alipanga ajizalie mapema apate kupumzika na uzazi.

kwa nini watoto ambao sio wakuwazaa mnawatriti vibaya kwa nini hii?
 
ni ngumu sana kumuacha mtoto mdogo kiac hicho, huyo baba aliongea na huyo binti, binti ndio akamtuma baba aje aseme/amweleze wife kama ataafiki bac yeye atamwachia mtoto am2nze, nadhani binti ni yule binti mapepe,anataka a2nziwe yeye atanue ki mpango wake.

Na aende akacheck na DNA kabisa hakawii kuwa kabambikiziwa kama binti mwenyewe mapepe. Nilishaona hiyo issue mume kaleta mtoto nyumbani toka nyumba ndogo kalea mpaka mtoto kaingia sekondari mume kafa, nyumba ndogo inakuja na ushahidi mtoto si wenu. Nawe ushamlea na kumzoea kama wako.
 
kwa nini watoto ambao sio wakuwazaa mnawatriti vibaya kwa nini hii?

Sasa Fidel akikosea asikanywe kama watoto wengine? Haimaanishi ummistreat jamani ni katika kumfundisha maadili mema pale inapobidi kukaripiwa atakaripiwa tu kama wanangu. Tatizo ni kuwa watu wakishajua kuwa si wako basi hata ukimtuma mara moja utaambiwa umemgeuza kijakazi!
 
Na aende akacheck na DNA kabisa hakawii kuwa kabambikiziwa kama binti mwenyewe mapepe.

Inasemakana akina mama ni mabingwa wa kuwabambika watoto wanaume zao.
Mi kuna G/F nimemgharamia kila kitu mpaka kazaa alisema mimba yangu kiumbe kilicho toka mmmh!aibu haoni hata aibu ameniganda tu ooh hela ya matumizi ya mtoto nikiangalia mmmh haina haja hata kupima DNA.
 
Sasa Fidel akikosea asikanywe kama watoto wengine? Haimaanishi ummistreat jamani ni katika kumfundisha maadili mema pale inapobidi kukaripiwa atakaripiwa tu kama wanangu. Tatizo ni kuwa watu wakishajua kuwa si wako basi hata ukimtuma mara moja utaambiwa umemgeuza kijakazi!

The way unavyo mkanya kwa kweli ni hash...hakuna hata chembe ya ubinadamu unamkanya kwa kumnyima chakula???Nyie wanawake acheni roho mbaya hizo ukifanyiwa wewe je?
 
swali la nyongeza;

...inakuwaje pale baada ya kuoa, unakuja gundua mkeo ambaye ndio kwanza ana 30yrs hakukuambia kuwa tayari ana watoto watatu, 14yrs, 12yrs, na 10yrs, ambao wewe siku zote za uchumba hukuwahi kukutana nao, na kila mmoja ana baba'ke!
 
kwa nini watoto ambao sio wakuwazaa mnawatriti vibaya kwa nini hii?

nisome vizuri fidel, mie wangu nampenda kama wa kumzaa but sio aniletee wa nje zaidi ya mwanangu nikampokea, hiyo anisamehe, huyo wangu mama yake alipofariki 2lienda huko kjjn kwao kuzika, nikamwacha mtoto amalize mcba, baba yake alipoenda kumchukua arudi skul bibi alimkatalia akisema anaogopa mjukuu wake ku2nzwa na mwanamke mwingine(aliogopa acpate manyanyaso ambayo kweli baadhi ya wanawake wanayo kwa watoto wa nje) akamwambia kama unataka kumchukua mwanao naomba umwambie mkeo aje niongee nae kama mwanangu na kama mwanamke anaejua uchungu wa mtoto, nilienda kjjn nikaongea na huyo mama, na nikamwahidi hata yeye yupo free wakati wowote kuja kumsalimia mjukuu wake pale anapojickia, na mtoto akiwa likizo must nimpeleke japo kwa wiki 1 akakae na bibi yake, nafanya yote haya kwa ajili nilimkuta na ckupenda mtoto niliemkuta nae mr ateseke wakati baba yake ana uwezo wa kumsomesha ipasavyo, ni kwa huyo tu mwingine chini ya wa kwangu niliemzaa SITAMPOKEA.
 
The way unavyo mkanya kwa kweli ni hash...hakuna hata chembe ya ubinadamu unamkanya kwa kumnyima chakula???Nyie wanawake acheni roho mbaya hizo ukifanyiwa wewe je?

Nakubaliana na wewe Fidel80 adhabu isiwe kali na iwe sawa na ile unayompa mwanao wa kumzaa. Ila unakosea ndugu yangu usigeneralize si wanawake wote wenye roho mbaya kihivyo.
 
Inasemakana akina mama ni mabingwa wa kuwabambika watoto wanaume zao.
Mi kuna G/F nimemgharamia kila kitu mpaka kazaa alisema mimba yangu kiumbe kilicho toka mmmh!aibu haoni hata aibu ameniganda tu ooh hela ya matumizi ya mtoto nikiangalia mmmh haina haja hata kupima DNA.

hahhaha.... Fidel huyo mtoto atakuwa anafanana na wewe kisogo au utumbo teh teh joke. Pole mwayego.
 
ahahahahahaha....sisi ndo wanaume bwanaaa...WANAUME FAMILY tupo hivyo woote ...mtusamehe bureeeee...mama mie nakushauri wewe pokea mtoto wa mwenzako..au umesahau mtoto wa mwenzako ni wako??....kwani ukimlea unapungukiwa nn?....je ungekuwa huna wako na unaletewa wa wenzako ungefanyaje?....ukipenda boga(mwanaume) penda na ua lake (watoto wa nje)
 
Ndiyo maana tunasema hii trend ya HIV/AIDS haiwezi kutuacha kamwe! Baba mwenye nyumba katoka nje, huko alikotoka nako kafumania! Mmh....

Mie nami msimamo wangu ni mmoja, anything above my kids ntachukua, kidogo zaidi ya hapo sahau, potelea mbali kuonekana roho mbaya.....wapelekwe kwenye roho nzuri wakalelewe huko! Manake kila mwaka wataletwa huku wakiendelea kumsingizia shetani kuwa aliwaghilibu! Na hiyo siku ya mwisho, hata shetani atawaruka....
 
ahahahahahaha....sisi ndo wanaume bwanaaa...WANAUME FAMILY tupo hivyo woote ...mtusamehe bureeeee...mama mie nakushauri wewe pokea mtoto wa mwenzako..au umesahau mtoto wa mwenzako ni wako??....kwani ukimlea unapungukiwa nn?....je ungekuwa huna wako na unaletewa wa wenzako ungefanyaje?....ukipenda boga(mwanaume) penda na ua lake (watoto wa nje)

Unaletewa ushahidi wa kukosa uaminifu ushangilie?
Pata picha kuwa ni wewe unafanyiwa hivyo na mkeo na akuambie mwana wa mwenzio ni wakwako!
 
nimecheka mpaka basi, haaa hujatulia shost.

. Asa shost shostitito mwenzetu anaona kabisa kuwa mwana hajarandana na anayesema ni baba yake na bado anasema anafanana naye sasa si itakuwa pengine kisogo (vile Fidel hajawahi kuona kisogo chake so itabidi tu aamini) au utumbo ah maisha yanakwenda.
Si unaona wanavyoumia wakitendwa wao? Ila wao sasa kukuletea mwana wa nje ya ndoa alompata baada ya kuoa wanaona ni kitu cha kawaida na kushangaa kwa nini huelewi!
 
Back
Top Bottom