hivi kwa nini

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
34,039
61,352
unakuta demu wako anajua kabisa kuwa wewe mpenzi wa mpira na anajua kabisa kuwa wakati unaangalia mechi hutakagi bugudha.
chakushanga anakutumia text oh bby cn we go out oh naomba unifanyie kitu....sasa siuchokozi huo.
 
na wewe unamsubiri kwenye kitu ambacho anakipenda unamwambia... baby unaweza kunisaidia maji... au baby naomba uje huku nje nikwambie kitu....! unamzingua mpaka ajishtukie halafu ndio unampa message kua mkuki kwa nguruwe hua ni mchungu sanaaa... umenielewa mama..... ataaacha kweli nakwambia
 
wote ndio walele wale tuuu....msichana atakwambia nataka twende for a walk, mwanamke atasema waupenda mpira kuliko mimi, mdada atakununuia mpaka wiki iishe
 
Ndio matatizo ya "MADEMU" hayo. Embu kua na msichana, mdada,mwanamke uone kama atakua hivyo.

lizzy vipi...!? tofauti yao iko wapi..? wote wakianza wameanza tu tena majimama yanakuaga na kisirani kabisaaa...! sasa mwanangu jana si ulikua na hamu ya nyama....! yani sasa hivi imenikaa kinyama ndio naelekea maeneo ya sinza nikachague wapi ni break nitimize mutima wangu manake hapa hali ni ngumu eeeyaoouuuwiiiiiii....! twende zetu mamaaa ila ndio tf akiniona ni kwamba nimekwisha....!
 
Ww ndo uko selfish basi tu hujistukii! Ngoja ukue, uoe then mpate watoto. Upate demu-mke ambae mtoto akilia anakuambia 'darling,mpe huyo mtoto maziwa, si unaona namalizia isidingo?'
 
Kama hujui endelea tu kutokujua.
Hehehe kuhusu nyama niloshatuliza hamu kwa kitifire mchana kwahiyo we nenda tu.Labda kama kuna mihogo ya kukaanga na kachumbari uniambie.
 
apigwe na mwiko kama mwenzie
aachiwe watoto
Ww ndo uko selfish basi tu hujistukii! Ngoja ukue, uoe then mpate watoto. Upate demu-mke ambae mtoto akilia anakuambia 'darling,mpe huyo mtoto maziwa, si unaona namalizia isidingo?'
 
Twende zetu koko bichi
au foroshani zenji
na urojo wa maana

Kama hujui endelea tu kutokujua.
Hehehe kuhusu nyama niloshatuliza hamu kwa kitifire mchana kwahiyo we nenda tu.Labda kama kuna mihogo ya kukaanga na kachumbari uniambie.
 
Ndio matatizo ya "MADEMU" hayo. Embu kua na msichana, mdada,mwanamke uone kama atakua hivyo.

Tatizo hapa ni hilo neno demu au!? lugha za watu hizi nazo,haya! Demu (dame) = "Slang term for any woman"
Hiyo ni moja tu ya maana japo zipo nyingi,so hata huyo mwanamke,mdada au msichana still ni demu tu.....
 
mkuu leo vipi ulikuwa unaangalia totenham vs stoke city ndo mama akakwambia mwende magomeni delux mkale kuku? Usinune bana yote mambo ya malavidavi,ka vipi kesho na yeye wakati anaangalia days of our lives mwambie unataka nonino!
 
Tatizo hapa ni hilo neno demu au!? lugha za watu hizi nazo,haya! Demu (dame) = "Slang term for any woman"
Hiyo ni moja tu ya maana japo zipo nyingi,so hata huyo mwanamke,mdada au msichana still ni demu tu.....

Kwa hiyo hata mama yako nae ni demu?? L.O.L
 
Tatizo hapa ni hilo neno demu au!? lugha za watu hizi nazo,haya! Demu (dame) = "Slang term for any woman"
Hiyo ni moja tu ya maana japo zipo nyingi,so hata huyo mwanamke,mdada au msichana still ni demu tu.....

Nyie watu vipi?
Yani kila nisipokubaliana na kitu mnaniletea maana za dikishenari, ili iweje?.Nimewambia sielewi maana?Muwe mnauliza basi kwanza . . . . khaaaa.
 
in a way ni selfishness tu... wengi tuna shida ya kushindana na visivyostahili... wt wengi wa type hiyo ya demu wako pia wametawaliwa na wivu
 
Si lazima kuwa na demu. Waweza kuchagua demu au mpira na maisha yakaendelea.
 
Back
Top Bottom