Hivi kwa nini watu wa nyanda za juu kusini/ kaskazini wanapenda sana kula Nguruwe

Hivi hili neno nyanda za juu maana yake ni ni hasa?????Nynda ni nini??????Kuna nyanda za chini???????zipi hizo??????????
Mkuu, The Boss! ingekuwa vizuri kama ili swali lako ungepeleka jukwaa la lugha nadhani ndio mahali pake, wote tumefundishawa hivyo somo la Jiografia toka darasa la tatu, ningeomba mchango wako kwenye hii trhead The Boss!
 
Hivi hili neno nyanda za juu maana yake ni ni hasa?????
Nynda ni nini??????
Kuna nyanda za chini???????zipi hizo??????????
Ritz jibu bana, wewe si mswahili?
kijana wa Mbayuwayu
Muasisi wa uvuaji wa magamba.

Nipo Ki-maslahi...cheki signature!!!
 
Ulikuwa unatafiti maeneo tu bila kutafuta sababu???
Mkuu, sababu ya utafiti huu ni pamoja Mafua ya Homa ya Nguruwe (H1N1) na Mbeya peke zaidi Nguruwe 130,000.walikutwa na Homa hiyo Mbalari Nguruwe 105, tulishilikiana na ofisa mifugo wa mkoa Dk, Solomoni Nong'ona kuwapatia Chanjo Nguruwe wa maeneo hayo
 
Ila ni nyama tamu sana hasa ukipata rosti kavu na pili pili kwa mbaaaaali lol!tatizo minyoo tu basi
 
Wana JF,Nimefanya utafiti nikishirikiana na jamaa zangu kutoka ulaya Shirika la Mpango wa Chakula duniani (WFP) tumegundua hapa Tanzania hizi sehemu za nyanda za juu Kusini/Kaskazini, wakazi wake wengi wanapenda kula sana nyama ya Nguruwe.Shehemu hizo kuwa upande wa Iringa, ni Makete, Njombe, Njombe, Kilolo.Ruvuma, Mbinga, Namtumbo, Tunduru.Rukwa, Nkasi, Mpanda.Kilimanjaro, Rombo, Kibosho, Hai, Kishumundu.Arusha, Karatu, Monduli, Longido.Wadau, kwa nini watu hayo maeneo wanapenda hii nyama mwenye kufahamu naomba anijuze. Nawakilisha
Unashangaza sana. Umeweza kufanya utafiti wa kujua wanakula sana nguruwe halafu umeshindwa kufanya utafiti wa kujua kwa nn.
 
Hizo sehemu zote ulizotaja zinawingi mkubwa wa wakristo ambao nguruwe sio haramu kwao hiyo ndio sababu
unguja je?!, mbona huko huyu mnyama huliwa sana inamaana kuna wakristo wengi?.
 
Sijawahi ona miguu, ila kichwa kinashughulikiwa kama kawaida!
Ahahahaha!! Siku moja nilipita pale round about ya kigogo(Kigogo sambusa) kuna bucha za Nguruwe nyingi sana pale nikaona jamaa wamebaba mifuko imejaa miguu ya Nguruwe sijui walikuwa wanakwenda kutengeneza supu ya makongoro
 
Unashangaza sana. Umeweza kufanya utafiti wa kujua wanakula sana nguruwe halafu umeshindwa kufanya utafiti wa kujua kwa nn.
Mkuu, bado nipo kwenye tafiti ndio maana nimepandika ili jambo humu JF, nipate kujua kutoka kwenu wadau, JF, ni kisima cha fikra
 
Ahahahaha!! Siku moja nilipita pale round about ya kigogo(Kigogo sambusa) kuna bucha za Nguruwe nyingi sana pale nikaona jamaa wamebaba mifuko imejaa miguu ya Nguruwe sijui walikuwa wanakwenda kutengeneza supu ya makongoro

wanatengeneza supu ya makongoro ya nguruwe,ukipita maeneo ya kimara baruti pale hawaii bar utakuta watu wanakunywa hiyo kitu.ni mambo ya kijasiri sana kunywa hiyo supu haifai kabisaaa!
 
Hii nyama ni nzuri, tamu na ina virutubisho muhimu, inasemekana hata Mtume Muhammad alikuja juu sana wakati chakula kimeseviwa mezani na nguruwe si moja ya mboga zilizokuwapo na yeye alikuwa na uhakika kuwa katika mboga zilizoandaliwa jikoni na hiyo ilikuwapo. Kwa hiyo aliwapandishia wapishi si mchezo na kuagiza kuwa kuanzia siku hiyo watu wengine wote wasile tena
 
Back
Top Bottom