Hivi kwa nini watanganyika (watanzania) hatusemi sasa basi?????????

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Ni katika suala zima la umeme. Ukweli sasa huyu mdada badra simpendi maana kauza sura yake mpaka sasa inanichefua pindi niionapo kwenye tv.
Wakati wa kiangazi tunaambiwa maji kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme nchini yamepungua na panaanza mchakato wa kupata umeme wa majenereta na tunaanza kukatiwa umeme upende usipende.
Wakati wa masika tunaambiwa mitambo ya kuzalisha umeme imechakaa hivo hali ya upatikanaji umeme sio nzuri.
Jamani wananchi tumechoka kusikia kila mara tatizo la umeme.
Sasa wanatueleza bei ya umeme ni kidogo kulinganishwa na kenya, uganda nk. Mie najiuliza njia za upatikanaji wa umeme mbona wanatuficha? Wawe wastaarabu tu kwa kusema nchi hizo pia umeme unazalishwa kwa njia zipi vilevile.
Mpaka sasa sie hatuwaelewi kama mnatuhudumia au mnatunyonya tuu.
 
Kenya na Uganda hawana mkaa wala gesi

Tanzania tuna maji, gesi, mkaa, upepo, jua nk....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom