Hivi kwa nini wanawake wanapenda sana kutoka na wanaume wanaofanya kazi bank?

Ni kwa kudhani hao wanaume wanamiliki pesa zote zilizoko mle bank au ni kitu gani kingine?maana me nijuavyo wafanyakazi wa bank wanalipwa pesa ya kawaida tu.ebu wanawake fungukeni kwa sababu hapa mtaani kwetu kuna jamaa anapiga mzigo Nbc,anawagongaje!!

Wanaume tunaofanya kazi benk tuko smart ndo mana wanawake wanatumind halafu mbona wao ndo wanatupaga hela mkuu?
 
Wanawake walio weng n kma ajal za pikipiki,zilizo nyng n za kichina tena sun lg,xl,dt na honda chache,hta hod za ajal ya pikipik huitwa sun lg.
 
Ya na per diem huwa inazidi, si unajua?

Perdiem za dola zinavyokuwa nyingi na hazitumiki kule si unajua tena mtu anakula msosi wa mkutanoni (na misosi ilivyo ya nguvu) akirudi hotelini usiku anakunywa chai au soda analala anabaki na balance ya kutosha
 
mwisho wa yote hata maneno ya khanga yanajidhihirisha....!!

khanga hiyo.jpg
 
Wanaume tunaofanya kazi benk tuko smart ndo mana wanawake wanatumind halafu mbona wao ndo wanatupaga hela mkuu?
Kwa sababu wanavaa sare km wanafunzi ndo maana wanapendwa na watoto wa vyuo wakidhani huyo mikopo watalipiwa
 
hii research ina makengeza kama si upofu,mbona me nina gwanda na jiwe mbili2 lkn nawang'oa as usual?
 
Aisee mvulana acha huo wivu...au na wa kwako kachukuliwa na jamaa??halafu wewe utakuwa unakaa maeneo ya kwetu mbagala ndio kuna haya mambo sana...
 
Ni kwa kudhani hao wanaume wanamiliki pesa zote zilizoko mle bank au ni kitu gani kingine?maana me nijuavyo wafanyakazi wa bank wanalipwa pesa ya kawaida tu.ebu wanawake fungukeni kwa sababu hapa mtaani kwetu kuna jamaa anapiga mzigo Nbc,anawagongaje!!

Ikiwa huyo 'Money Counting Machine' mmoja anafanya uzinzi huko mtaani kwenu, wewe unadhani MCM's wote ni wazinzi?
 
Utafiti wako una walakini, labda wadada wa vyuo maana hawako exposed, ila wanawake walioko mzigoni wanajua ukweli kuwa benk mishahara laki 6, na hakuna safari upate per diem, overtime wala magumashi yoyote na kazi ngumu unabanwa hadi wekend so huwez kufanya business uongeze kipato. So wakiwa na mtu wa bank ni kwa upendo binafsi sio kwa pesa as bank hakuna hela.

Wadada wa mjini wanacheza na watu wa kwenye miradi, bandarini, migodini, tra, shipping lines, engineers, nssf, tanesco, telecom companies na kwingineko as wakipiga mzinga wa milion wanajibiwa bila longo longo... So usifananishe wadada wa college na wanawake watu wazima, kwanza hao wadada wenyewe wengi wao wanafanya banks as tellers and bank officers so watatoka vipi na bankers wenzao wakati wanajua hali halisi.
Issue, wanaopatikana sana, bankers hata utamaduni wao wa kuvaa kujiona kweli, wadada wa vyuo, wengi wanawapenda sana wanaume wa huko. bankers wengi wana suplus, sasa hozo tra, nssf, shiping miradi iko mingapi. lakini bankers ni noma, KIUJUMLA WANAJESHI NA WAFANYAKAZI WA BENKI WANAPENDWA SANA na WADADA hasa wanaomaliza bachelor kama za walimu, sociology, community development, social work, nk. HII HABARI ni ya kweli.
 
Utafiti wako una walakini, labda wadada wa vyuo maana hawako exposed, ila wanawake walioko mzigoni wanajua ukweli kuwa benk mishahara laki 6, na hakuna safari upate per diem, overtime wala magumashi yoyote na kazi ngumu unabanwa hadi wekend so huwez kufanya business uongeze kipato. So wakiwa na mtu wa bank ni kwa upendo binafsi sio kwa pesa as bank hakuna hela.

Wadada wa mjini wanacheza na watu wa kwenye miradi, bandarini, migodini, tra, shipping lines, engineers, nssf, tanesco, telecom companies na kwingineko as wakipiga mzinga wa milion wanajibiwa bila longo longo... So usifananishe wadada wa college na wanawake watu wazima, kwanza hao wadada wenyewe wengi wao wanafanya banks as tellers and bank officers so watatoka vipi na bankers wenzao wakati wanajua hali halisi.

naomba nisishtukiwe nikagandwa!
 
Back
Top Bottom