Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,812
- 623
Umpende mwanamke na una hakika anakupenda alafu umuache sababu hajui kupika?? Acha hizo bana... Wee si unajua, it is better wamuoa... Wakati wa honey moon wamfundisha kupika na kila mkipata nafasi... mbona kupika easy kwa mtu yeyote ambae anataka kujua?? Utakua hujamtendea haki huyo mwanamke wala wewe mwenyewe...
unajua nn Adi mm kwangu kupenda sio sura tu na umbo peke yake kuna vitu vingi tu ikiwemo hilo mapishi, usafi,heshima, n.k n.k na kwangu b4 sijaoa lazima hayo yathibitike wazi sio unajiolea tu halafu nikateseke bure na mabalaa ndani ya ndoa. Kuna wanawake VICHWA NGUMU Adii ni yani balaa