Hivi kwa nini wafanyakazi wa afya wanadharauliwa kiasi hiki?

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
355
88
Ni mgomo gani ambao utaathiri sana wananchi wa kawaida (wale ambao hawawezi kupelekwa India kwa matibabu) baada ya kutotimiziwa stahili zao kama haawa wafuatao?

Marubani
Wabunge
mawaziri
wafanyabiashara
madereva
wafanyakazi wa afya
mashushushu (walinzi wa ccm na watawala)
polisi
wanajeshi
n.k. ?????

Naomba jibu.


Swali la nyongeza:

Kwa serkali makini inayotambua kuwa hali ya uchumi wa nchi yake iko taabani, kulikuwa na umuhimu gani wa kufanya sherehe za miaka 50 ya uhuru zilizotumia mabilioni ya fedha ambazo hazikuwa kwenye budget ya 2011/2012??

JK is a total failure!! Probaly he is deliberately punishing Tanzanians for not electing him as President in the 2010 elections (he knows he did not genuinely win the elections!!!!)
 
Back
Top Bottom