Hivi kwa nini unaogopa kuoa au kuolewa?Unajua nini maana ya Ndoa?Biblia inasemaje?

mi siogopi na siku ikifika nitakubali kuolewa tena kwa ujasiri mwingi. people want to fall into marriage and enjoy but instead they fall out of it soon after their great wedding ceremonies and suffer greatly in their hearts. we need to grow in marriages, preserve and sustain it with all purity while be willing to accept all associated risks and rewards under the Lord's care.

inashangaza watu hawataki kuolewa/kuoa lakini kuzini wako tayari 24/7. it seems that we are totally thinking out of our senses, away from Gods plan. ndoa ni mpango wa Mungu na si wa mwanadamu. kama Mungu alipotosha design ya ndoa, hakika mwanadamu hawezi kuinyoosha kwa akili zake. kumbukeni imeandikwa kuwa "kwa maana hekima ni ulinzi kama vile fedha ilivyo ulinzi; na ubora wa maarifa ni ya kwamba hekima humhifadhi yeye aliye nayo. tafakari vyema kazi yake Mungu kwa sababu ni nani awezaye kukinyoosha kitu kile alichokipotosha yeye?" (mhubiri 7:12-13).

Thank you for your positive move on this matter called marriage.

Wengi hatukubali kuwa kuna vitu ni lazima tukumbane navyo na inabidi tuwe tayari kuvikubali.

Tunawaza makubwa kabla ya kufikia jambo fulani ila hatujawa tayari kukubali kuwa kila kitu kina changamoto
 
Ugonvi au mfarakano kwenye ndoa ni kitu cha kawaida sana Husninyo. Isikukatishe tamaa. What matters is LOVE. Ukimpenda mtu hakuna kosa ambalo litakufanya ujutie kuolewa. Hata kama anatoka nje ya ndoa, kitendo cha wewe kugundua mara nyingi kinafanya penzi lenu lichanue upya. It is sometimes boring if you just live without conflicts.

Kwa mfano mimi mume wangu niligundua anatoka na mdada tena to my assessment could be "good looking" (think this is right word) than me na nikamwambia ahamie kwa kimada wake akagoma na kunipigia magoti nikajua kweli mume wangu kanizimia. From there I could measure how much my hubby loves me and I am still his number one wengine ni mapoozeo tu.

Niliweka private investigators kuona kama ana-muattend huyo dada na nafurahi kuwa amesitisha huduma.

Kwahiyo umekubali yeye kuwa na vipoozeo?
 
1.Mmmh hapo penye red-really?

2.Hongera..nimesoma maneno yako mara mbili mbili nimegundua mie sina wito na maisha ya ndoa,wacha niendelee kujihakiki vizuri.loh watu wana mioyo!
 
Ni kweli kabisa ila ndoa ni ngumu sana,kuna mambo mengine kwa mwanaume ukiwa ndani ya ndoa unashidwa kuvumilia hasa unapokuwa na mke ambae sio mwema,mwenye mdomo,matusi kashfa,muogo,asie na heshima wkt unamuoa uliona kuwa ni mwema lkn ndani ya miaka 2 anabadilika,mie ni mhaga wa ndoa,nilivumilia lkn imefikia mwisho na mungu anisamehe,swala ya kuoa inabidi mtu uwe makin sana la sivyo unaweza kuoa na maisha yako yakawa ya mawazo na kujuta.kama sisi tunaoishi nchi zilizoendelea basi ni hatari kweli,ni bora upige box kwa kwenda mbele ukija bongo likizo wanawake wanajilegesha unapiga mabao then unatosa,maisha yanaendelea.
 
siogopii in such,I js wonder who's gonna be my hubby and if ts gon b worth it..matatizo I anticipate yatakuwepo buh I hope they wil be less than goodtyms..family is totally important mana cant imagine my later life bila mume or watoto
 
Topic nzuri kwa wale ambao hawajaoa.As for me najuta kuoa, kila siku namuomba Mungu anisaidie nasubiri majibu. Kwa ufupi mke wangu alibadilika zaidi baada ya ndoa mpaka sasa ni miaka miwili ila naona ni karne.Tabia mbaya kwangu ni pamoja na mke kuwa na kiburi , kuwasiliana na x wake muda mwingi , kumchukia mama mzazi wa mmeo hasa mamamkwe, kuwa mchafu hasa nyumbani, kupika hapiki kila siku housegal, mhudhuriaji mzuri wa mitandao ya kijamii na picha kibao! Muongo, makundi ya malaya, matusi, hamchi Mungu kwa kutoshiriki ibada, kuelemea upande wa kwao tu etc. Kama hujaoa au kuolewa uwe makini sana
 
Mhhhh.... still sioni point kwanini kuna kuoana!!!!! Una uwezo wa kupata chochote unachokihitaji, kwanini kuingia kwenye life imprisonment!!!!
 
Back
Top Bottom