Hivi kwa nini TV za Bara zinadharau majanga yanayotokea visiwani Zanzibar?

Tanzania nzima hatujawahi kuwa TV au redio ya watanzania, zote ni vyombo vya propaganda vya CCMTIV. Angekuwa Kanumba au LULU ungeona, tusingelala. Gqzeti ni mwanahalisi tu.
 
Yaani huku Unguja hivi sasa ni hekaheka kubwa kila mtu yuko na simanzi. Cha ajabu ukiangalia stesheni za Bara zinapiga ngoma kama vile hakuna kilichotokezea. Jee huu ni uungwana? Mara ile tulipata msiba wabara wao wakaendelea na mashindano yao ya kihuni, leo hii wanapiga ngoma halafu ndo ndugu zetu hawa. Shame on u

mimi mtanganyika zenj hainiusu
 
Sumatra bara waliwakatalia kusajiri hii meli, kwa sababu za usalama zilizoeleweka, Zanzibar mkajifanya mnajua zaidi mkaisajiri kutaka kuwaonyesha Bara mna ubavu wa kuamua mambo yenu. Inasikitisha tu kwamba wahanga ni watu wasio na hatia wa upuuzi huu wa Zanzibar, la sivyo tungesema kwa mioyo myeupe kwamba mambo mengine mnajitakia wenyewe, sawa tu na yale ya Spice Island. Mnakuwa wabishi mkitaka makuu msiyoyaweza. Mnatakiwa mshitakiwe ICC kwa mauaji ya hawa abiria.
 
Wakati makanisa yanachomwa nyie mlikuwa mnafanya nini iyo ni laana mliyojitakia itawatafuna mpaka mtakapotubu
Yaani huku Unguja hivi sasa ni hekaheka kubwa kila mtu yuko na simanzi. Cha ajabu ukiangalia stesheni za Bara zinapiga ngoma kama vile hakuna kilichotokezea. Jee huu ni uungwana? Mara ile tulipata msiba wabara wao wakaendelea na mashindano yao ya kihuni, leo hii wanapiga ngoma halafu ndo ndugu zetu hawa. Shame on u
 
Zipo kwenye eneo la tukio na zimesimamisha vipindi vyengine vyote

mkuu nadhani ishu ni suala la umbali.
Kisiwa cha Chumve kipo karibu sana na Zenji.
Halafu vilevile mkuu si unajua nchi yetu tunajua sana kuongea, halafu vitendo hakuna.
Suala la live coverage utaliona tu siku CCM inasheherekea miaka kadhaa ya umaskini wa Taifa letu tar 9 desemba, 26 aprili, 5 februari kila mwaka.
 
mkipata shida ndo mnawajua wa Tz-Bara,lkn jana mpaka wabunge CDM waliwaunga mkono kutoka nje mngekua nyinyi mngeweza wanafiki wakubwa
 
Upuuzi mtupu na ujinga wetu sisi Watanzania ndio utakaotumaliza. Hapa udini na siasa, mara oooh kuchoma Makanisa inahusu nini na haya maafa. Tubadilike, tuwache UNAZI WA KIJINGA.
 
watanganyika acheni ujinga hapa kwa taarifa yenu miongoni mwa maiti zilizo patikana wamo watanganyika wenzenu na inabidi tuwafukie leoleo usiku kwa kukosa wa kuwatambua hii ni ajali usishangae ukakuta unapewataarifa mmoja ni ndugu yako wa damu . Sisi sote tutakufa ila kila mmoja na staili yake so usiwe mjinga katika maafa. ANGALIA LINK HAPO chini sio wa znz peke yao hili ni janga.

ZanziNews Blog: Picha ziadi maafa ya meli

Zanzibar ni Nchi, ina rais wake, wimbo wake wa Taifa, bendera yake, Bunge lake, mafuta yake haiwajibiki kwa bara. Kama hivyo ndivyo basi mwajibike na hili la ajali msitulilie. Mara hamtaki muungano, mara wabara wanawanyanyasa likitokea mnalia bado tsunami msitulilie. Nyerere alipokufa wazanzibar mlishangilia, MV Bukoba ilipozama wazanzibar walikuwemo lakini hamkuomboleza kama wabara sisi hatukusema ni kwa nini ninyi leo mnajiliza. Nchi za watu haziingiliwi kwenye mambo yao huwa wanaachiwa wao wenyewe
 
it is sad; badala ya mambo kama haya kuleta umoja ndiyo yanaonesha jinsi tunavyozidi kuwa tofauti!!!

Mzee heshima mbele, walipongundua mafuta walituruka (wabara) futi mia, lakini hili la ajali wanatulilia tusaidie. Waache watanganyika walonge, Zanzibar ni ZIGO la mavi watasnganyika wabeba
 
Yaani huku Unguja hivi sasa ni hekaheka kubwa kila mtu yuko na simanzi. Cha ajabu ukiangalia stesheni za Bara zinapiga ngoma kama vile hakuna kilichotokezea. Jee huu ni uungwana? Mara ile tulipata msiba wabara wao wakaendelea na mashindano yao ya kihuni, leo hii wanapiga ngoma halafu ndo ndugu zetu hawa. Shame on u

Hoja yako hats mimi nimestuka.. Tunatafuta Kwa bidii kujua kinachiendea ZANZIBAR but kidogo Mlimani TV wanatoa update wengine hata sielewe what we do think ..

Rais wa ( serikali ya mapinduzi ZNZ ) ametangaza 3 day morns.. But huku bara kimya.. Nadhani tuwe waung'wana Kwa Hili, why EZEMBE.. UZembe tooooooooooooo much
 
Back
Top Bottom