silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,161
- 1,539
Yaani huku Unguja hivi sasa ni hekaheka kubwa kila mtu yuko na simanzi. Cha ajabu ukiangalia stesheni za Bara zinapiga ngoma kama vile hakuna kilichotokezea. Jee huu ni uungwana? Mara ile tulipata msiba wabara wao wakaendelea na mashindano yao ya kihuni, leo hii wanapiga ngoma halafu ndo ndugu zetu hawa. Shame on u