Hivi kwa nini tusiwatukuze mafisadi ?

Mkora

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
370
55
Wadau kama mnavyojua Serikali yetu ndio imeshashindwa kuwachukulia hatua yeyote hawa wenye hatimiliki na nchi
Kwa kisingizio nchi itavurigika au haitatawalika ijapokuwa Mwalimu Aliwacha sheria ifuate mkondo wake hata kwa watu wake wa karibu na waliomsaidia
Kama mtakumbuka wakati wa vita vya ukombozi kusini mwa Afrika viongozi wote wa Afrika Kusini majina yao yalikuwa yanaanza na Kaburu
Mfano Kaburu Peter Botha na Kaburu F.W. De Klerk na wengineo
Sasa je kutakuwa na ubaya gani kutumia majina haya
Fisadi EL
Fisadi EC
Fisadi RA
Fisadi XXX XXX
Yaani watu wote wanaoushabikia au kuufanya bora tuanza na Fisadi halafu jina linafuata.
 
nakubaliana nawe kabisa tuwaite Fisadi .... lkn tusitumie neno kuwaenzi kwani linaharibu radha.
 
Back
Top Bottom