Hivi kwa nini tusiige Mbeya Municipal

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,194
79,427
Wajameni naomba kuipongeza Mbeya Region (Municipal) na Arusha Council kwa kuona umuhimu wa egovernance

Na napenda kuuliza kwa nini municipals kama Moshi, council kama za Mwanza na kwingineko haswa kule kulipochukuliwa na Chadema wasiige
utaratibu huu wa kuwa na website kujitangaza haswa fursa za uwekezaji? Hebu tujiulize jiji la Mwanza na mji wa Moshi na mingineyo kulipo na utalii kuna fursa ngapi zinapotea kwa kutokuwa na website ya kuonyesha fursa za uwekezaji? just imagine Abravomich kabla hajaja kupanda mlima Kilimanjaro lazma aliingia google na ku-type Kilimanjaro....ni wangapi wa namna hiyo hufanya na how much of a waste opportunity does the region incur? Pls you guys wake up n play ur roles every municipals should have a website
http://www.mbeya.go.tz/

http://www.mbeya.go.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=101&Itemid=116
http://www.arushamunicipal.go.tz/web%20pages/municipal_projects.htm
 
Mwambie kikwete anataka kutangaza kwa kwenda mwenyewe LIVE...hataki mchezo Raisi wetu....
 
Aise hii ni hatua nzuri sana kwa kuanzia kwa kweli. POngezi sana manispaa na jiji la mbeya kwa hatua hii nzuri. Inastahili kupongezwa sana manake wameonyesha walau nia ya kuwa na websites. Haya ndio maendeleo yenyewe na kupevuka kimtazamo.

Changamoto kwa wengine sasa nao kujiunga na mitandao ya websites....!
 
Back
Top Bottom