Hivi kwa nini ndege, boti, mitumbwi, treni hazina kondakta?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
wakuu ni kwa nini daladala na mabasi ndio yana hawa kondakta? lakini vyombo vya usafiri kama ndege, boti,treni,mitumbwi hazina kondakta wakati navyo usafirisha abiria na kupitia vituo mbalimbali kama mabasi. WHY?
 
Kwa sababu ya vituo vingi ndo mana lazma pawe na kiunganishi Conductor
 
mr.Q.unaishi dar au kijijini? hujui maana yo kondakta wa basi?
 
Ndege, treni, meli , boti hata mtumbwi una kondakta labda ule mtumbwi wa mtu mmoja inabidi huyo huyo dereva afanye kazi za kondakta.
ukiondoa mtumbwi, ndege, meli, boti kubwa zina mpaka wapiga debe jaribu kufanya utafiti utagundua. Labda kondakta unayemtaka ni yule anayesimama mlangoni.
 
mr.Q.unaishi dar au kijijini? hujui maana yo kondakta wa basi?
hahaha soma jibu la eddie juma ndio maana nimekuuliza maana uliyo kuwa ukimaanisha. Au mpaka avae sare zile za blue
 
wakuu ni kwa nini daladala na mabasi ndio yana hawa kondakta? lakini vyombo vya usafiri kama ndege, boti,treni,mitumbwi hazina kondakta wakati navyo usafirisha abiria na kupitia vituo mbalimbali kama mabasi. WHY?
kamuhulize KENYATA.

SWISSME
 
Back
Top Bottom