Hivi kwa nini misiba humu???

Status
Not open for further replies.

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,407
8,900
Hivi kwa nini mtu akifiwa analeta habari za msiba humu? mara oh nimefiwa na baba, mara ohh na mama, mara rafiki yangu mpenzi ...sisi wengine wanatuhusu nini??

Sasa kwa nini hamjulishani huko kwenu mnaojuana kwa simu au e mail au njia yoyote ile bila kutubughudhi sisi tusiohusika? Sasa kama umefiwa sisi wanatuhusu nini? unataka tufanye nini? Hatuwajui wala hawatujui!! Ambianeni huko mnaohusika msije kutubugudhi hapa!!
 
Huwezi kuona kitu kilipo na kujua kinakwenda kwa mwendo gani wakati huo huo,ukikiona kilipo huwezi kujua mwendo wake, ukijua mwendo huwezi jua kilipo....Natafakari kwanza signature yako then nitarudi......
 
Hivi kwa nini mtu akifiwa analeta habari za msiba humu? mara oh nimefiwa na baba, mara ohh na mama, mara rafiki yangu mpenzi ...sisi wengine wanatuhusu nini??

Sasa kwa nini hamjulishani huko kwenu mnaojuana kwa simu au e mail au njia yoyote ile bila kutubughudhi sisi tusiohusika? Sasa kama umefiwa sisi wanatuhusu nini? unataka tufanye nini? Hatuwajui wala hawatujui!! Ambianeni huko mnaohusika msije kutubugudhi hapa!!

we mtu wa burundi endelea na maisha yako,kama hizi taarifa hazikuhusu nyamaza, si lazima uifungue na kuichangia, tuachie sisi na umoja wetu wa kitanzania
 
Kijakazi nani kakwambia ujiunge JF? ww kaa pembeni au peruzi masuala ya Dini au mambo ya Siasa
Hapa tupo km ndugu na sio Facebook tafadhali waombe radhi wafiwa huwezi jua machungu ya kufiwa na Mzazi au mwambie Moderator aifungulie ukurasa wa Rambirambi la sivyo wakupige BAN umetutukana wote
 
Mbona wewe hautuhusu na wala hatukufahamu/hutufahamu lakini huleta mada zako tunachangia na wewe unachangia za kwetu umewahi kujiuliza hivi
 
Hivi kwa nini mtu akifiwa analeta habari za msiba humu? mara oh nimefiwa na baba, mara ohh na mama, mara rafiki yangu mpenzi ...sisi wengine wanatuhusu nini??

Sasa kwa nini hamjulishani huko kwenu mnaojuana kwa simu au e mail au njia yoyote ile bila kutubughudhi sisi tusiohusika? Sasa kama umefiwa sisi wanatuhusu nini? unataka tufanye nini? Hatuwajui wala hawatujui!! Ambianeni huko mnaohusika msije kutubugudhi hapa!!

mkuu wangu....nataka nikujulishe kwamba....JF imetufanya ndugu baadhi ya sisi members......
so ukiona hivyo.....usidhani huyo mtu ana kichaa kuweka tangazo lake hapa.....wengi wetu tunafahamiana na ni utaratibu wetu wa kupeana habari....
sio misiba tu, hata ubarikio....harusi....maulid...nk.....
kwa hiyo ndugu mpendwa......kama unaona inakuboa we ipotezee tu......
 
Wewe na nani kwa mfano mnabughudhiwa hapa...maana umekurupuka na wingi as if unawakilisha kundi la watu na kama ndio mimi si mmoja wao..............huna haya wala hujui vibaya ....ndo matatizo ya kukuzwa badala ya kulelewa...!!!!!

Yaani huoni umuhimu wa kupeana pole na kufarijiana wakati wa matatizo kama vile kufiwa????

Ntapata ban bure hapa........
 
mkuu wangu....nataka nikujulishe kwamba....JF imetufanya ndugu baadhi ya sisi members......
so ukiona hivyo.....usidhani huyo mtu ana kichaa kuweka tangazo lake hapa.....wengi wetu tunafahamiana na ni utaratibu wetu wa kupeana habari....
sio misiba tu, hata ubarikio....harusi....maulid...nk.....
kwa hiyo ndugu mpendwa......kama unaona inakuboa we ipotezee tu......

Pretta mamy waste no time of yours educating the barbaric......just a square peg in a round hole; it will never fit in squarely.............not of the feather!!!!!!!!!! Sad to say
 
Potezea tu hujabebeshwa chochote ungekuwa wewe ndio unserver za jf tungekoma ,mwenyewe unatumia bure hapa hulipi chochote then unanyanyua shiiiip agrrrrrrrrrrrrrrrrr,alafu wewe
 
Hivi kwa nini mtu akifiwa analeta habari za msiba humu? mara oh nimefiwa na baba, mara ohh na mama, mara rafiki yangu mpenzi ...sisi wengine wanatuhusu nini??

Sasa kwa nini hamjulishani huko kwenu mnaojuana kwa simu au e mail au njia yoyote ile bila kutubughudhi sisi tusiohusika? Sasa kama umefiwa sisi wanatuhusu nini? unataka tufanye nini? Hatuwajui wala hawatujui!! Ambianeni huko mnaohusika msije kutubugudhi hapa!!

Kwani nani alikutuma ujiunge na JF?? Hukulazimishwa kujiunga humu hivo basi hujalazimishwa kufungua topic za misiba kwani yaelekea ww mwenzetu huna misiba kama ungekuwa na misiba ktk jamii yako usingeongea haya ulioyaandika...:tape: rudi kunako kufaa humu ndani hakukufai
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom