Hivi kwa nini Konyagi, Bia, Wine, ni pombe halali, Gongo inatiwa pombe haramu

Great Thinkers.

Naomba kuuliza ni kwa nini hizi pombe kama Konyagi, Bia, Wine, Wisky, zinaitwa pombe halali?

Halafu pombe kama Gongo inatwa pombe haramu?
nani kasema ni haramu? Mi kwangu ni halali na wala haina matatizo yoyote kwa sababu inaleta matingas kama kawaida
 
Kuna aina za pombe,mfano pombe kal (spirit cane)ni hatar coz % n' alcohol volm yake nkubwa.kulinganisha na mbege,ulanzi,mnaz,komoni,dad,buza,wanzuki,kangara.
 
Back
Top Bottom