Hivi kwa nini hatuna vitambulisho vya utaifa?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,134
79,247
Can CCM tell us why hatuna vitambulisho vya utaifa ambavyo hupewa kila anayefikisha miaka 18? Hivi hii nchi imeenda kwa mbwa? kwanini suala hili halitiliwi maanani kama tuna wapiga kura millioni 19 na watu wanashindwa kuona kuna wizi umetendeka jamani tutatawaliwa na hawa wezi kama ilivyo Angola na MPLA. Tuamke jamani kuuliza hizi figure zimetoka wapi? haiwezekani uchaguzi wa 2005 kuwa na wapiga kura wasiozidi millioni 13 leo hii number ime-shoot up to millioni 19 hiyo millioni 6 zaidi inatoka wapi? wakati life expectancy ya Mtanzania ni miaka isiyozidi 55?
 
Back
Top Bottom