Mr.creative
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 492
- 117
Mwana jf unaweza kutoa sababu ya vijana wengu wa tz kukosa ajira ijapokuwa wengine wamesoma lakini hawana ajira?
Ajira zipo nyingi sana ila tatizo la vijana wetu wamezidi usharobaro wa kuchagua kazi. Waache wapigike tu ili wapate akili
mkuu, katika hii post wakati ninaisoma mwanzoni nilisema 'huyu ameropoka tu' lakini baada ya kutafakari kidogo, nimegundua kuna ukweli ndani yake, vijana wanataka kazi za kupata pesa haraka haraka, hawataki kazi ambazo hawatakaa ofisini. Kweli bhana, tz kuna kazi sema tu vijana wa sasa hawajitumi kibishi, hawajui ku-hustle!Ajira zipo nyingi sana ila tatizo la vijana wetu wamezidi usharobaro wa kuchagua kazi. Waache wapigike tu ili wapate akili
Mwana jf unaweza kutoa sababu ya vijana wengu wa tz kukosa ajira ijapokuwa wengine wamesoma lakini hawana ajira?
<br />Ajira zipo nyingi sana ila tatizo la vijana wetu wamezidi usharobaro wa kuchagua kazi. Waache wapigike tu ili wapate akili