Hivi kwa nini Ghana inatajwa kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru Afrika?

pia mtambue kuwa hata hao wamisri tulionao huku nje ya Africa hawatambui hii siku tuitayo AFRICA DAY,wao wanasema kuwa hawatoki Africa wao wana toka nchi za KIARABU
nayaongea haya kwa kuwa niko nao hapa na hata vikao vya maandalizi ya AFRICAN DAY hawatokei hata michango wamegoma kutoa

kwa mtindo huu basi ni kweli Ghana itabaki kuwa nchi ya kwanza kupata uhuru Africa,na Misri,moroco na nyinginezi zitabaki kuwa ni nchi za KIARABU

Soma historia ukiacha historia iliyo andikwa na watu wenye nia na malengo yao; utagundua kuwa sura ya africa ya kasikazini iligeuka sura yake hasa baada ya utawala wa Ottoman ( Ottoman Empire).
 
Nimesoma maoni yenu wadau nimeelimika sana na niwashukuru sana sana kwa mioyo yenu ya kutokuwa wanyimi wa taaluma (taalimu kwa mujibu wa Prof Sengo) lakini bila shaka nyote mmeona kutokana na maelezo kupingana ya wadau mbalimbali mantiki ya hoja hii. Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom