Hivi kuwahi kufika kileleni kunasababiswa na nini?

Alwayz on top

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
706
264
Wadau nipen ushauri huwa najisikia vibaya sana kuwahi kufika kileleni nifanyeje hii hali iishe au nichelewe kupizz? nipen njia za kuchelewa
 
Physiological problem. Ejaculation unaweza kuicontrol kaka, jaribu pitia post mbali mbali na google co tatizo kubwa, utalisovu tu
 
Nachukia sana nikiona maswali general kama haya.Unafikiri sababu ipo moja tu?
 
Toa maelezo yako yanyooke kuwa huwa inakuwaje hiyo hali. Kama unaona kujieleza hapa haiwezekani sbb watu wengi wanaona aibu juu ya matatizo yao basi waweza kuniandikia kwa ushauri zaidi. Email: healthwealthfirst@gmail.com
 
Back
Top Bottom